Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyinyi ni aibu hadi mbinguni kwa kuwa Mungu kawabariki na kila kitu si rotuba, mbuga za wanyama, madini ya thamani kubwa, Ziwa kadhaa, bahari na Nchi kubwa Kisha mnamalizia LDC.... WTF man????
Apo umekula ugali,na mboga ,na nishati ya kupikigia ya gesi imetoka Tanzania umepata nguvu ya Ku post apa, vijana Kenya acheni uvivu ingine front nyanganya ma bwanyenye mashamba mlime la sivyo Tanzania ikikata msaada wa chakula mtakufa
 
Kuna Nchi moja West Africa ambayo ni a big producer of Uranium lakini bado ni LDC, Kwa hiyo Nchi inajulikana kama Niger. Je ina maana Niger ndio inayolisha China, USA na Japan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…