sasa anapandaje na hizo BRT zishaondolewa zote barabaran zipo za CNG saaahv
Yes madame, unasemaaaa?...
The whole grass thing has completely failed, i saw the grass kwenye training ground i had to hide those pics
February, 27, 2025
Progress on the Upcoming Mwache dam, Kwale county👏...
Watoe wapi? Dar bado ni ile ile ya uswazi kila sehemu, nothing has changed. Ingia Google Earth ujionee maajabu!Akikuonyesha niite 😅
🤣😂The boy hajawai toka mbeya, brt atapanda saa ngapi?...
They must have used a different approach here.
Huyo dunderheard anatafuta sehemu pa kujipooza baada ya kichapo kizito. 😂😂😂February, 27, 2025
Bruhh Tanzania is changing everyday. I keep reminding you we're not the same 💀
Yeye Trump na watto wangapi?
Saa hii ameacha kuongelea grass ya Talanta main stadium, he has now shifted to the mini Stadium grass.They must have used a different approach here.
Yule Nyamwezi sasa atatuonyesha nini jameni? 😂 😂 😂
a cowshed!Mombasa County Stadium.
Kuna wenye wanajenga stadiums Tatu nchi nzima lakini kelele wanapiga ungedhani wanajenga Stadiums nchi nzima kama Kenya.
View: https://youtu.be/kKwKKI669jY?si=KjXcCUnxHJUFC5Bc
Are these Nyamwezis even breathing in here?Low IQ is thinking BRT is everything even when it’s failing terribly. Yaani huwa mnaamua tu kutuonyesha picha nzuri lakini kwa ground mambo ni different.
Start lecturing us about BRT when you fix yoursView attachment 3633649View attachment 3633650View attachment 3633651View attachment 3633652View attachment 3633653View attachment 3633654View attachment 3633655View attachment 3633656View attachment 3633657View attachment 3633658View attachment 3633660View attachment 3633661View attachment 3633662
Cowshed ni zile takataka mnajenga Dodoma na Arusha.a cowshed!
Ile maku yao iko hata na mini stadium ama ni training ground tu hivyo?Saa hii ameacha kuongelea grass ya Talanta main stadium, he has now shifted to the mini Stadium grass.
Bad news for him that even the mini Stadium has his grass growing well.
View attachment 3633688
Duh hii chuma inayoenda Matadi iko poa sana kwanza ni comfortable na pia in moto balaa kuliko hata lile ngalangala la kaskazini aka WWII relic
Ume reply kwenye post ya member ambaye yupo ignored imebidi nimtoe nione ni nini. 😂😂😂a cowshed!