Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Halafu bado utawaskia Ukunduni wakijifariji kwa kudai hakuna direct flights Za Kilimanjaro na Arusha! ATI lazma zipitie JKIA. Air Tanzania Iliana kwenda London July 2027, the game will be over!
Nyiyi mnafaa ku relax
Endelea ku Practice na local flights, mtafika tu..
 
Wacha kushangilia ujinga, you think those kind of people know the difference between Kenya and Tanzania? 😅😅 all they see is Africa
Kwa sababu ametaja kunyaland ghafla naonekana nashangilia ujinga jinga wewe. 😂😂😂
 
Huwa naonaga wakipost haya magari yao, wamejaza stika nyingi, wanachafua gari zima eti ni culture
Culture ya matakataka, Kenya bado imejaa washamba

unacheza Double standards na culture sasa, unetoka tu kutuambia hii ni culture na Lifestyle mbona watapatapa😅🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…