Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huo ni upotoshaji. DMDP 1 walijenga barabara nyingi sehemu zifuatqzo
1.Temeke hakuna sehemu iliowekwa lami DMDP 1 ndani ya Temeke ambayo ni makazi holela.
2.Mbagala Kuu vile vile zimewekwa lami kwenye mitaa rasmi.
3.Mwananyamala na Kijitonyama hakuna mtaa usio rassmi uliowekwa lami yote ni mitaa mikubwa.
4. Kinondoni bwawani hadi Victoria mitaa iliowekwa lami yote ni planned tena huku wameweka zege.
Tandale njia kuu iliowekwa lami ni ile inatoka Sinza hadi Magomeni,ingine inatoka Kijitonyama hadi Mabibo hizo zote ni njia rasmi.
Kutoka hizo njia rasmi hasa maeneo ya Tandale wamestretch few meters kuingia Uswazi hazifiki huko katikati.
5.Magomeni yote.Kqgera,Mburahati lami zimewekwa mitaa iliopimwa hakuna makazi holela lami imedikq
Alichofanya Magufuli hakulipa fidia na hakubomoa baadhi ya nyumba ambazo ziko karibu sana na barabara hivyo kuna maeneo lami inapita nje ya baadhi ya nyumba.
DMDP 2 inaendelea maeneo mengi mfano Kigamboni imenufaika sana kuliko wakati wowote. Ila tu speed ya DMDP 2 ndio kidogo mwendo wa kinyonga.
 
Tanzanians upper middle class building their own homes with state of the art ultra modern high pitched roof designs... ordinary kenyans mostly from the diaspora building their own homes...the planning alone tells alot from this two countries...I'll let you be the judge...
*This is not Nairobi but part of rural kitengela...
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Who told you retractable roof is added to make it more modern 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Jibu swali nyamwezi. You are comparing Arusha stadium na Mercedes Benz stadium. MB inajulikana iko na retractable roof. Why don't you want this one to be one the points of making a comparison?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…