Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata kwenye cement tutakuwa washindani wakubwa sana ndani ya miaka 2 ijayo punde kiwanda kipya kikubwa kuliko vyote bongo kikikamilika na dangote mtwara ukianza kuzalisha at full capacity
Mshindani kwa nani!! kwa sababu sasa hivi tu Tz ndiyo kinara wa kuzalisha cement hapa E.A. Ukienda Malawi, Burundi, Rwanda uta shangaa wanavyo tumia cement ya T.Z.
 
When do you keep abreast with your own affairs other than monitoring Kenyan news!? Jipe shughuli bwana,you must be so idle that you go fishing literally for any ''negative'' news from Kenya!
 
Haipo Kwenye siri na tunakubali hali yetu mbona msikubali Nyinyi ni LDC na pia project nyingi huko bongo ni za ushabik tupu yani white elephant.
Nani aliyekataa?, Kenya ndiyo wenye white elephant projects, miradi yetu yote ni economically viable, wakati projects zenu karibu yote imetumia pesa nyingi haiwezi kurudisha hizo pesa, mfano ni hiyo SGR, tayari wafanya biashara wanalalamika kwamba nauli ni ghali sawa na usafiri wa barabara. Wewe huelewi maana ya white elephant project, jielimishe kwanza
 
Yetu ni white elephant bora hatuko LDC.
 
When do you keep abreast with your own affairs other than monitoring Kenyan news!? Jipe shughuli bwana,you must be so idle that you go fishing literally for any ''negative'' news from Kenya!
i told you the other day, even USA regardless of her strongest military powers than any country in the world,
is monitoring all activities in north korea because it has interest with that country.

same goes to tanzania, we have interest with kenya,we are the BIG brother of EA, so we will monitor each and everything in kenya whether you like it or not.[emoji23]

i have been doing this for about five years now,you are not the first kenyan to whine about it.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Mshindani kwa nani!! kwa sababu sasa hivi tu Tz ndiyo kinara wa kuzalisha cement hapa E.A. Ukienda Malawi, Burundi, Rwanda uta shangaa wanavyo tumia cement ya T.Z.
How do understand abt the term leading competitor?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…