Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunaongelea design wao wanaongelea facilities na wanalinganisha facilities za viwanja vya ulaya na vya Africa, uwanja unaweza kuwa na facilities za kisasa ila design yake ikawa imepitwa na wakati kama unavyoona Arusha stadium ndiyo design za kisasa za viwanja zipo hivyo, yn uwanja wa mpira lkn design yake ni tofauti na watu walivyozoea ya box au round shape kama vilivyo viwanja vingi duniani.
 
Kama china tu, kwasasa kuna designs za kisasa kibao za viwanja duniani, wenzetu wao wameishia kupewa sufuria na wachina. Duniani Watu wanajenga kwa kuwa ispired na vitu vilivyopo mazingira yao yanayowazunguka au any land mark ambayo inawatambulisha kidunia. Jirani yupo nyuma ya muda, mimi nasemaga humu hao jamaa hawana identity, they don’t even have their national language wanadandia dandia tu. 😂😂😂 very stupid societies.
 
Kijana wa Tandale, facilities ndio zinafanya kitu kiitwe modern. Hauwezi kusema kitu ni modern if it doesn't have modern facilities.

Wewe ulisema modernity is about creativity. Unapooulizwa pia ni ubinifu gani imetumika Arusha that makes it stand out from the rest tena hauna jibu, unakimbilia AI prompts.

When you mentioned ubinifu, I expected you to list creative aspects ya huo uwanja wenu something that you haven't been able to do. Lakini unachofanya ni kupiga vita kwa mdomo tu badala ya kututajia vitu concrete we can see or even verify on the web
 
Nyinyi wakenya jaribuni kuwa na uwezo wa kufikiri hata kidogo jamani, Allianz Arena imejengwa mwaka 2005, na umekuwa most modern kwa muda mrefu, tunapoongelea modernity tunaongelea ubunifu, now viwanja vya kisasa havijengwi kwa design ile tena.
So you want us to use your understanding of modernity to discuss on Stadiums? First of all hujui hata modernity ni nini.
 
Duniani Watu wanajenga kwa kuwa ispired na vitu vilivyopo mazingira yao yanayowazunguka
What do you think inspired the shields around the stadium facade?
You might or might not even know coz we are dealing with blind patriots
 
I can tell you 100 reasons why Arusha is not modern. One of them is this👇👇👇.

All the modern Stadiums in the world have this LED boards on the stands except the "modern" Arusha Stadium.

View attachment 3625525
Mimi hawa Nyamwezi naenda nao mwendo wa polepole tu. Yani hapa, tunapass tu time ila battle hakuna hata moja
 
Ni sawa sawa na uchukue probox halafu umodify ndani kuweka vitu vya kisasa halafu uliite eti ni gari la kisasa. 😂😂😂
Hawa watu kwao uzalendo ni kutetea kila kitu hata kama hakipo sawa.
 
So you want us to use your understanding of modernity to discuss on Stadiums? First of all hujui hata modernity ni nini.
The guy is forcing his knowledge of a subject on others. He wants everyone to subscribe to his own understanding, whether he's wrong or right notwithstanding
 
The guy is forcing his knowledge of a subject on others. He wants everyone to subscribe to his own understanding, whether he's wrong or right notwithstanding
Mimi hata nashangaa na huyo. When people talk about modernity it's always the features within a stadium, yeye anatuletea mambo ya exterior appearance ATI ndio modernity😂😂.

Kwanza Talanta Stadium is the only stadium in East Africa that will be collecting and recycling it's runoff water inside a stadium for re-use. 50% of the first stand is just water tank.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…