Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Because you don't know what modernity means utasema Allianz Arena ni modern, na nikakuuliza OT ina facilities zooteee ambazo nyingi Arusha stadium haina, je OT ni modern than Arusha stadium?
Did you say Allianz Arena is not modern? 🤣🤣🤣🤣
OMG! I missed that part
 
So, uwanja wenye running track hauwezi kuwa modern? Nijibu hapa ili nijue kama naweza kuendelea ku debate na wewe au niache tu mjadala uishe.
Wewe ulichoona ni hiyo tu? What about the part he mentioned roofing system ambayo haijatumika popote Africa? Hiyo nayo imekupita kama taarifa ya saa saba!
 
Nani mshamba Kati yangu na wewe mwenye alisema that Arusha Stadium is more modern than Allianz Arena?
Yani jamaa alisema Allianz Arena is not modern?🤣🤣🤣🤣 Hapa tunadeal na sisiemu blind patriots
 
Uwanja ambayo imetumia a unique technology ambayo umetumika in ONLY five other stadiums dunia nzima unaita sio modern? 🤔🤔🤔

What is modernity to you if I may ask?
I asked him the same question na hajanijibu hadi WA Leo.
 
Did you say Allianz Arena is not modern? 🤣🤣🤣🤣
OMG! I missed that part
Ndo viwanja vyenu vya ki Africa mli copy hapo, now ushapitwa na wakati, dunia ishatoka huko. Unabaki kuwa advanced stadium in terms of facilities but not modern.
 
What's modernity according to you?
 
Because you don't know what modernity means utasema Allianz Arena ni modern, na nikakuuliza OT ina facilities zooteee ambazo nyingi Arusha stadium haina, je OT ni modern than Arusha stadium?
So all the articles and researchers that rank Allianz Arena among the top 10 modern stadiums in the world ni wajinga na wewe ndiye mwerevu? I think you are just a fool.
 
Ndo viwanja vyenu vya ki Africa mli copy hapo, now ushapitwa na wakati, dunia ishatoka huko. Unabaki kuwa advanced stadium in terms of facilities but not modern.
I rest my case. There's no need wasting time on this 🤣🤣🤣🤣🤣
Kwamba Allianz Arena with these kind of world-class skyboxes is not modern?🤣🤣🤣🤣

Show me any stadium in Tanzania including hiyo Arusha yenu with anything close that
 
Nyinyi wakenya jaribuni kuwa na uwezo wa kufikiri hata kidogo jamani, Allianz Arena imejengwa mwaka 2005, na umekuwa most modern kwa muda mrefu, tunapoongelea modernity tunaongelea ubunifu, now viwanja vya kisasa havijengwi kwa design ile tena.
 
Tunapoongelea modernity tunaongelea ubinifu🤣🤣🤣

What is creative about Arusha stadium? Is it about having an oversized roof

Or is it having LED screens hanging a few inches from the ground?
 
Hata kama utakimbilia picha za ujenzi ambao haujaisha ila bado huwezi badili kinachoonekana ground kwasasa. 😂😂😂 umia vizuri 👇🏾n guess what, the stadium is still under construction. Ngoja iishe ili ukimbie humu. 😂😂😂
 
We mshamba naongelea design siongelei facilities, unataka kulinganisha facilities za viwanja vya ulaya na Africa? Hivi una akili kweli wewe.
Hii hapa ni San siro, unataka kusema ni modern than Arusha just because ina facilities ambazo Arusha haina?
Hii ni Azteca stadium ya kule Mexico, utasema ni modern kwasababu ina hizi facilities 👇👇
Eleweni mada acheni ushamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…