Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimejaribu kumuelezea nikaona napigia mbuzi guitar.😂😂😂😂
Bro najua hili suala limekuuma sana ila ndiyo ukweli, tunaposema modern tunaanzia nje, yn muonekano wake kwa nje, kwani ngoja nikuulize, kati ya old Trafford na talanta uwanja upi una facilities za kutosha? Mbona OT hauitwi ni modern stadium? Modernity inaanzia kwenye design, uwanja wa talanta design yake sio modern ila ni new stadium.
 
Facts

 
Modern stadia zinakaa hivyo hata wakipinga lkn ukweli wanaujua, na najua fika wakenya wengi hawakuwa wanajua kwamba wanajengewa uwanja wenye design ya kizamani mpk pale Arusha stadium ilipoinuka.
Hao jamaa ni watu kupigwa,ndio maana hata kwenye train wameletewa za muundo wa kizamani
 
Hivi jamani hebu tujaribu kuwa realistic, hv kati ya uwanja huu
Na huu
Ukiulizwa kwa muonekano tu upi ni modern utasema upi? Mbn tunabishana kitoto namna hii?

Laiti kama wakenya wangejengewa uwanja huu ingekuwa ni sahihi kabisa kuuita modern stadium
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…