Street Hawker
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 708
- 1,188
Kwahiyo just because Kenya haijawahi kuwa na concord ndo kusema mkenya haruhusiwi kusema concord ni ndege ya kizamani, sioni mantiki hapa mkuu.Huwezi sema ni design ya Kizamani wakati hamna any stadium that matches it in modernity.
Ss mbn tunabishana kitu ni ukweli mkuu, kwahiyo Mkapa sio caf approved stadium? Amaan je sio caf approved stadium? Je, mpk sasa Kenya ina viwanja vingapi ambavyo ni caf approved? Utasema hvyo vya counties ni approved? Sisi huku mpk cha Azam kinatumika kwa michuano ya caf, nyie imebidi timu zenu zitoke nje kwenda kucheza mechi za caf, hapo utasema niko biased au nasema ukweli bro.Kwa hivo hizo zenu zishaakuwa approved? 🤣 🤣 Boss, kidogo nitaacha kukuengage maanake nilidhani wewe ni mtu unajielewa lakini naona kama uko ovyo sana.
Some criticisms are only valid if you’re actually in a position to make them. You can’t mock someone for being short if you’re shorter than them. You can’t laugh at someone’s poverty when they’re richer than you. And you can’t call someone stupid when they’re clearly smarter than you.If I claimed Concorde is an old plane and boasted that Kenya has newer ones, I would need to show those planes and prove they are indeed more modern. Yet you dismiss Talanta as an old stadium while calling Arusha a “modern” one even though all available facts show Talanta is significantly more modern than Arusha - which is your most modern stadium.Kwahiyo just because Kenya haijawahi kuwa na concord ndo kusema mkenya haruhusiwi kusema concord ni ndege ya kizamani, sioni mantiki hapa mkuu.
Tunaongelea viwanja vinavyojengwa upya wee boya. Mkapa imejengwa juzi? Si wewe mwenyewe umetaja Fumba, Arusha na Dodoma? Viwanja ambavyo bado vipo ujenzini?Ss mbn tunabishana kitu ni ukweli mkuu, kwahiyo Mkapa sio caf approved stadium? Amaan je sio caf approved stadium? Je, mpk sasa Kenya ina viwanja vingapi ambavyo ni caf approved? Utasema hvyo vya counties ni approved? Sisi huku mpk cha Azam kinatumika kwa michuano ya caf, nyie imebidi timu zenu zitoke nje kwenda kucheza mechi za caf, hapo utasema niko biased au nasema ukweli bro.
Hayo ni maoni ya mtu, hata mm naweza kui fix AI ikasema CCM kirumba stadium ni modern than Mercedes Benz stadium ya USA, modernity inaonekana kwa macho tu, uwanja unaweza kuwa na kila kitu lkn design yake ikawa sio modern, mm nazungumzia design ya uwanja kati ya talanta na Arusha bro, usiniwekelee vitu sijasema.Some criticisms are only valid if you’re actually in a position to make them. You can’t mock someone for being short if you’re shorter than them. You can’t laugh at someone’s poverty when they’re richer than you. And you can’t call someone stupid when they’re clearly smarter than you.If I claimed Concorde is an old plane and boasted that Kenya has newer ones, I would need to show those planes and prove they are indeed more modern. Yet you dismiss Talanta as an old stadium while calling Arusha a “modern” one even though all available facts show Talanta is significantly more modern than Arusha.
Let's see what Kimi has to say about the two stadiums.
View attachment 3625182
Pole kaka, ila sioni sababu ya matusi.Tunaongelea viwanja vinavyojengwa upya wee boya. Mkapa imejengwa juzi? Si wewe mwenyewe umetaja Fumba, Arusha na Dodoma? Viwanja ambavyo bado vipo ujenzini?
Alafu kwenye issue ya viwanja ni sahihi mtz kumcheka mkenya mana ni kweli mtz alianza kuwa na uwanja modern kabla ya mkenya, correct me if I'm wrong.Some criticisms are only valid if you’re actually in a position to make them. You can’t mock someone for being short if you’re shorter than them. You can’t laugh at someone’s poverty when they’re richer than you. And you can’t call someone stupid when they’re clearly smarter than you.If I claimed Concorde is an old plane and boasted that Kenya has newer ones, I would need to show those planes and prove they are indeed more modern. Yet you dismiss Talanta as an old stadium while calling Arusha a “modern” one even though all available facts show Talanta is significantly more modern than Arusha - which is your most modern stadium.
Let's see what Kimi has to say about the two stadiums.
View attachment 3625182
Inawezekana hujui what makes a stadium modern, a simple question, which year was the box design initialized?Some criticisms are only valid if you’re actually in a position to make them. You can’t mock someone for being short if you’re shorter than them. You can’t laugh at someone’s poverty when they’re richer than you. And you can’t call someone stupid when they’re clearly smarter than you.If I claimed Concorde is an old plane and boasted that Kenya has newer ones, I would need to show those planes and prove they are indeed more modern. Yet you dismiss Talanta as an old stadium while calling Arusha a “modern” one even though all available facts show Talanta is significantly more modern than Arusha - which is your most modern stadium.
Let's see what Kimi has to say about the two stadiums.
View attachment 3625182
Hawa watoto kama tukiwaendeleza namna tunafanya watatupa matunda taifa hili. Ni kizazi cha dhahabu hiki hatupaswi kukiacha kiende, tuhakikishe wote hawa wanaenda ulaya.
Nimekuwekea hapo hadi na prompt yangu. I simply asked, which is more modern between arusha and talanta stadium.Hayo ni maoni ya mtu, hata mm naweza kui fix AI ikasema CCM kirumba stadium ni modern than Mercedes Benz stadium ya USA, modernity inaonekana kwa macho tu, uwanja unaweza kuwa na kila kitu lkn design yake ikawa sio modern, mm nazungumzia design ya uwanja kati ya talanta na Arusha bro, usiniwekelee vitu sijasema.
Kaka talanta sio modern ila ni new stadium, viwanja vingi vya ki Africa vipo hivyo, modern stadium ziko mfano wa Arusha stadium.
Which modern stadium? 🤣 🤣 🤣Alafu kwenye issue ya viwanja ni sahihi mtz kumcheka mkenya mana ni kweli mtz alianza kuwa na uwanja modern kabla ya mkenya, correct me if I'm wrong.
Kabla mjenge kasarani tayari Tz ilikuwa na uwanja wa uhuru ambao ulijengwa mwaka 1961, tafuta taarifa kabla ya ku debate.Which modern stadium? 🤣 🤣 🤣
Kenya built Kasarani in 1987. You built Makwapa in 2007. Hivi wewe una miaka ngapi kijana?
Tunapoongelea design jaribu kutafuta taarifa how modern stadia look like, achana na patriotism bro.Nimekuwekea hapo hadi na prompt yangu. I simply asked, which is more modern between arusha and talanta stadium.
It seems you do not understand the meaning of the word design. Design constitutes all those things mentioned in that post. When we talk about modern designs, we are talking about the new age features in the design. You can't call something modern just because it's a poor attempt at mimicking Mercedes Benz stadium when it doesn't have the modern features in it.
Alafu uwache kukana vitu vilivyo wazi. You ruin your credibility when you deny things that are open to everyone. Hapa wewe mwenyewe ukasema Arusha is more modern than Talanta, saahii unakana vitu vilivyo wazi.
Uhuru ndio unataka ulinganishe na Kasarani? Wacha mchezo wee buana. Halafu hiyo 1961 hiyo Uhuru stadium ilikaa hivi. Uhuru level yake ni city stadium in Nairobi which was built in 1930. You're stupid. Wacha nikuache.Kabla mjenge kasarani tayari Tz ilikuwa na uwanja wa uhuru ambao ulijengwa mwaka 1961, tafuta taarifa kabla ya ku debate.
I am giving you facts. Ni wewe uko na blind patriotism. Nikuuliza unitajie feature moja yenye Arusha stadium iko nayo inayoifanya iwe more modern than Talanta hutoniambia. Mimi ukiniuliza features zinazoifanya Talanta iwe modern kuliko Samia nitakwambia. Kwa hivo kati yangu nawewe nani ana blind patriotism.Tunapoongelea design jaribu kutafuta taarifa how modern stadia look like, achana na patriotism bro.
How old are you?Mm sijakataa talanta ni uwanja mzr ila concern yng ni design ya kizamani, nchi nyingi za Africa zina viwanja vya design hiyo, modern stadia siku hz zinajengwa kama unavyoona Arusha stadium, hiyo iko wazi. Nafikiri sasa tuachane na hii debate tuendelee na mambo mengine.
Wewe hata uki catch ma feeling haina shida najua wakenya mko hivyo, huwa hampendi ku debate kwa hoja bali matusi. Naomba uniwekee picha ya hiyo city stadium miaka hiyo jinsi ulivyokuwa na mm nikuwekee uhuru stadium miaka hiyo jinsi ulivyokuwa zen tuone upi ulikuwa unaonekana modern kuliko mwengine.Uhuru ndio unataka ulinganishe na Kasarani? Wacha mchezo wee buana. Halafu hiyo 1961 hiyo Uhuru stadium ilikaa hivi. Uhuru level yake ni city stadium in Nairobi which was built in 1930. You're stupid. Wacha nikuache.