Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

A franchise huh, there is also Total Tanzania.
Did you go to School?
Na nikamaliza, sikuachia class 6 kama wewe.
What does being a franchise have to do with anything.

Nimesema Total Energies KENYA. (Full name TotalEnergies Marketing Kenya PLC).
Their revenue in 2025 was higher than all Bongolala companies.

What was Total Energies Tanzania revenue last year?
Let's see who is more qualified to advice its French owners.
 
just to add to that Total energies are building a new refinery in Uganda, so goodluck to that and you will buy oil in Tanga with the prices we want + port fees
 
Middle income, na per capita ya $1200 hahah, anyway;
Nikupe mfano, angalia magari yanayoendeshwa kwenye mitaa yetu bora kabisa kama Kibaki road halafu compare na yanayoendeshwa Sandton, kama umewahi fika,
Hapa sitaki kutaja mitaa ya Kenya sababu huko hali ni mbaya zaidi, CBD ya Nairobi kuna malori yanasafirisha abiria kama PSVs this 2026, awkward.
back to the topic,
Ngoja nikupe facts,
What is 6% or let’s say 10% kwenye uchumi wa $85b na watu million 70?
Hii si pesa ya Mapato ya Facebook kwa Mwaka.
Nchi Kama Tanzania ambapo mji wetu bora kabisa , Dar es Salaam , umejaa hawkers kila pahala, uende kariakoo, manzese, Coco Beach, Mbezi Luis, Bunju, Mbagala, Mwenge na kila pahala,
This alone will tell you we have a long way to go,
Nchi haina opportunities sababu ya viongozi visionless kama mama.
Miji yote sasa hivi imejaa bajaji na bodaboda kama uchafu,
Ni rahisi sana kung’amua kuwa huwezi kuendesha uchumi wa watu millioni 70 bila vibrant manufacturing sector, Mama hawezi elewa hili ndio maana mambo ya maandamano hayatakoma hadi nchi ikae Sawa, vijana wapewe shughuli za kujikwamua kiuchumi.

Then Mimi sio maskini, I have enough for myself and my family, the difference Kati yangu na wengine maybe ukiwemo is that I earn my clean money with dignity, I pay Taxi and I don’t bootlick any silly politician for favors, like many of you.
 
Btw Total energies isnt a kenyan company, only registered to do buesiness in kenya but doesnt belong to kenya, so stop counting the profits as revenues of your slum, ontop of that Tanzania is shifting towards GAS(CNG) do oil calculations for your own slum
 
Zile ni sherehe kwenye maadhimisho. Sisi ndio vinara Africa na ndio jeshi lenye history ya kipekee kwenye medani ya vita. Angalia chief defense force na chief of staff wa South Africa, Namibia, Angola, Zimbabwe, Mozambique, Uganda, Burundi, Rwanda, Zambia, Congo DRC wote trained Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…