Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
nimeshangaa kuskia kipimo cha maendeleo nchini Tanzania ni bus stands (stendi za basi)😀😀😀
😀😀😀😀are you obsessed with Kenyans?
we all love renders, but for this project i can guarantee you,it wont be delayed. soon we will put our words into action.I love renders....![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

mnajenga bus stands mnawacha airports zikiwa hali mahututi? 😀😀😀😀that is Tanzania ya viwonder for you..you need to set ur priorities straight you guyswe all love renders, but for this project i can guarantee you,it wont be delayed. soon we will put our words into action.
construction tender has already been advertised....so watch this space.
remember this is magufuli's era,actions speak louder than words.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Watanzania wengi wanatumia usafiri wa mabasi kuliko ndegesome of those bus stand renders are better than their mabati airports😀😀 priorities🙁🙁 it is only in Tanzania where bus stands are prioritized over airports...Mind you, this is a country that relies heavily on tourism😀😀😀
naona unajaribu kuhamisha goli.mnajenga bus stands mnawacha airports zikiwa hali mahututi? 😀😀😀😀that is Tanzania ya viwonder for you..you need to set ur priorities straight you guys

kama pinnacle na montave😀😀😀😀wow render thanks bro😀😀😀
namuinesha huyo anaemiliki ng’ombe wa urithi😀😀😀😀are you obsessed with Kenyans?
nadhani picha zipo tele za airports za mabati Kigoma, Arusha, Tabora na kadhalika....ama nakosea?naona unajaribu kuhamisha goli.
unahakika tz haijengi viwanja vya ndege au umeamua tu kupiga porojo?.![]()
You dont have to run to th suprmarket to prove that your supermarkets sell Tanzanian milk...thats shallow bro😀😀...nikama vile unajishuku😀😀namuinesha huyo anaemiliki ng’ombe wa urithi
fair enough ila nadhani pia ni bora mjenge airports ili kuvutia utalii zaidi jinsi mlivyo na vivutio vingi...ni aibu kuwa watalii asilimia 99 wa Tanzania wanabebwa na ndege za nchi za ng'ambo...Watanzania wengi wanatumia usafiri wa mabasi kuliko ndege
Relax thats just a small 10 million stadium in Kakamega...huyo Governor amejaribu sana...tukisema mandeleo mpaka mashinani we mean ithiii ni nini????😀😀😀
na kwa taarifa yako supermarket tanzania zinaushindani mkubwa sana wa tanzania products yani kuna viwanda vingi vya maziwa kuliko kenya na ushindani ni mkubwa sana😀😀😀😀😀😀😀You dont have to run to th suprmarket to prove that your supermarkets sell Tanzanian milk...thats shallow bro😀😀...nikama vile unajishuku😀😀
hehehhe kweli kama MLDC ndio huku bora tubaki LDC😀😀😀😀😀😀Relax thats just a small 10 million stadium in Kakamega...
Usihofu hilo linafanyiwa kazifair enough ila nadhani pia ni bora mjenge airports ili kuvutia utalii zaidi jinsi mlivyo na vivutio vingi...ni aibu kuwa watalii asilimia 99 wa Tanzania wanabebwa na ndege za nchi za ng'ambo...
arusha ni airport ya light aircrafts tu kwasababu iko 50 km from kilimanjaro international airport, mwanza iko under huge constructionnadhani picha zipo tele za airports za mabati Kigoma, Arusha, Tabora na kadhalika....ama nakosea?
nchini tanzania ni sawa ila your products do not compte in EA like ours do...nenda Kigali Juba Kampala ujioneena kwa taarifa yako supermarket tanzania zinaushindani mkubwa sana wa tanzania products yani kuna viwanda vingi vya maziwa kuliko kenya na ushindani ni mkubwa sana😀😀😀😀😀😀😀