Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,311
- 18,150
Picha gani nimegeuza bongolala. Tofauti ni kwamba nimekuletea picha kutoka Parklands, Kileleshwa, South C , South B, Pangani, Eastleigh na Kilimani. Hakuna Westlands, CBD Wala Upper Hill wewe unaniletea ya cbd coz you know nje ya cbd hamna kitu cha kulinganisha na hayo maeneo ya Nairobi.Unageuza heuza tuu picha,Sasa Kuna tofauti gani na hapa? 👇👇View attachment 3622533
Na ujue focus ilikuwa kuonyesha buildings za 10-19 floors Nairobi wakati wewe ushatuonyesha tallest buildings in Dar in comparison! 😂