stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 37,895
- 37,449
Sometimes nayo kua kwenye slum shida sana 🤣 mpaka leo huelewi quantity vs quality? BTW hata kampala is worth more than Nairobi, nyie mnajenga kwa kurushia zegeEnyewe ignorance ni mbaya. Hiyo ripoti ilisema kwamba real estate value ya dar ilichangiwa na glass buildings? Ama sasa ni mwendo wa story za vijiweni? 😄😄
hii ni 2026
Kampala, Dar beat Nairobi in prime office rental yields
Nairobi registered a lower yield on prime office rents compared to its rival regional capitals, Kampala and Dar es Salaam, in the second half of 2025, new data shows, revealing the varied...