Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inabidi Samia acheze karata zake right atafute funds za Isaka-Uganda border kum-convince M7 abadili mawazo!
Uganda is connecting to both Tanzania and Kenya, however prices will determine wafanya biashara watatumia route gan
 
You are just a clown unatuwekea pantoon hapa na kuiba picha ya meli za watu unafikiri sisi ni wajinga kama nyie.
See? Just said hamtawezana, ona sasa ushafikiria sio ya Kenya😅 na bado, zipo nyingi 😅😅
Hio ni KNS Jasiri mzee, na ukizoom pale nyuma utaona a whole cruising formation.. hebu zoom in 😅😅
 
Ila hii Rwanda kusaini Gov to Gov deal si jambo zuri kwetu! Tumelala!
Kaka usidanganywe. Hii issue walikuwa nayo tangu zamani. Rwanda alitishia kusitisha mkataba huo ndio maana wanekuja juu na kupigia makelele.

Uganda pia alikuwa na mkataba huo aliusitisha juzi kati.

Tanzania system yetu ni bulk procurement, hatutegemei nchi moja. Soma detail ya mkataba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…