Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Angola na Nigeria zimebakikiwa sana pia
 
Like I said that place is nowhere near upperhill...kunaeza kua na nyumba nyingi but ni nyumba tu za kawaida unazipata place kama eastland ....upperhill has new modern classy buildings
Povu.
 
na tanzania ndio inaanza kutumia resources yani speed zote za maendeleo unazoziona ndio tumeanza kutumia resources sasaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Angola na Nigeria zimebakikiwa sana pia
ndio ila kwa mafuta tu...nyie mna baraka toka kwa wanyama pori, beaches and islands, na pia mvua tele...nchi si kame kama vile northern Kenya...mna tanzanite, gas, diamond na dhahab...mna mlima mrefu kabisa barani kisha mna fresh water lakes ambazo Angola na Nigeria hawana...frankly, kwa baraka za natural resources, tz na DRC mlipendwa na Mola...
 
we wacha kudanganya watyu...Brookside wamekamata soko la Tanzania
suburu brookside hasikiki tanzania kuna viwanda vya maziwa zaidi ya 15 na zote ziko kwenye ushindani mkali sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
na tanzania ndio inaanza kutumia resources yani speed zote za maendeleo unazoziona ndio tumeanza kutumia resources sasaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
yaani mmekuwa mkilala...Tanzania should be ahead of South Africa today....SA kuna mahali kumekauka sana...hawana mlima mrefu kabisa barani,...hawana pia wanyama pori kiasi mlio nao...kwa hiyo, tukubaliane tu kwa hili, watz mmekuwa mkilalia masikio yenu kwa muda mrefu sana...angalau Magu ameamsha engine ila its too late...watu kama SA wapo mbele sana hamuwez kuwafikia kamwe...Kenya pia na ukame wa kaskazini tupo mbele ynu kiuchumi
 
ikiwa huyu ni mmoja tu bado wale settlersπŸ˜€πŸ˜€

The Kenyatta Family Land Enough To Settle 20 Million Kenyans


 
ndugu, Upperhill only competes with the likes of Sandton, SA...the kind of development going on there is astonishing...hapo ndio Britam, prism, UAP, Pinnacle, Montave wote wapo bro
where is pinnacle and montave??πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
yani unaweka na renders kwenye listπŸ˜›πŸ˜›
 
Ondoa Kamwe apo ,
The thing is tumechelewa kufanya mambo ya heshima...tumeanza kufanya na tutayafanya kwa hasira zote...
tunauwezo wa kupaa maana mabawa tayar tuko nayo sema tuliamua kutembea kwa muda mrefu
 
fululiza picha tu tufananishe...hii ni debate...which means anything is subject to objection....if you can prove that Posta is more modern than this then I'd really like to see you try and fail
katika hzo picha nioneshe pinnacle na montave maana umetueleza zipo zikwapi????πŸ˜€πŸ˜€
 
na tanzania ndio inaanza kutumia resources yani speed zote za maendeleo unazoziona ndio tumeanza kutumia resources sasaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Renders za station zenu za SGR si maandishi mengi na zero to show.
 
Like I said that place is nowhere near upperhill...kunaeza kua na nyumba nyingi but ni nyumba tu za kawaida unazipata place kama eastland ....upperhill has new modern classy buildings
so upper hill is big than posta??πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
yani ndio akili yako ilipofika mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…