Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jaluo na English yake 🤣🤣🤣🤣🤣unasahau wenzio tumeyaishi maisha ya wakoloni na hatupigi kelele hapa.
AI Overview









comfy
/ˈkʌmfi/
Comfy is an informal adjective meaning providing or experiencing physical comfort, ease, and relaxation. It is a cute, shortened, and casual version of the word comfortable, frequently used to describe clothing, furniture, or a cozy environment. [1, 2, 3, 4]
 
hii ndo westlands, na pale ndo bus terminal "i know the questions you all have, How did it become a city" , neither do i have answers but lets just take it as it is








ukizunguka tu nyuma ya amriot hotel mambo hua tafauti
Btw ukitoa tu filter unapata ile front face halisi

 
hata ungekua ni wewe una hela zako, utaishi sehem kama hii? na apa ndo the heart of Nai slum, kule kwingine tukionyesha watu watatapika, btw has been a while sjamuona Nicxie



View: https://x.com/ntvkenya/status/2069665575442567184?s=20
 
hii ndo africa modern bus terminal


some modern environment around westlands





meanwhile hii ni barabara ya tandale



View: https://www.instagram.com/p/CeTUaVzIhjJ/
 
Hiyo Olympic Petrol Station inasemekana ni ya Serikali ya Rwanda. Ukiunganisha na hii message wakenya wanazidi kulia


View: https://www.instagram.com/p/DaKWrsQCNIb/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…