Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama umeishiwa pumzika, napost SGR wewe unaleta SGR shida nn?
Bongolala, this thread compares Nairobi and Dar is slum. Has it put a limit on what should and shouldn't be compared between these two cities? I have just posted the current state of your commuter trains. Why do you feel offended? Ama hizo sio viti za commuter trains za Dar? Huenda nimekosea 🀣🀣
 
Now i understand, i can relate also in the quality of education given there


View: https://x.com/Globalstats11/status/2070071032409694320?s=20
 
Out of jealously, utasikia comments kama hizii: "Sasa mbona mjenge barabara kubwa na interchange mahali hakuna magari nyingi? Hizi ni misplaced priorities. Sisi bongo tunajenga kulingana na mahitaji. Hatujengi ili kufurahisha watu..." 🀣🀣🀣🀣🀣
Tunajenga overpass kutokana na mahitaji sio nyinyi munachukia ma loan ya ovyo munaenda jenga overpass eldoret mukitegemea itafaa miaka 30 inayo wakat hzo infastructure zinaisha na kuchoka πŸ˜†πŸ˜†


Sisi tunajenga kutokana na mahitaji sio nyinyi munainhia kwenyw mikopo kueka overpass kwenyw sehemu hakuna uhitaji, mbaya zaidi overpass zenyewe sasa za kupanga tofali juu🀣🀣🀣🀣 nani aliwaroga nyinyi


Yani vitu nimejionea kwenye hii thread! Wacha tu!
 
And who said it's not MGR? Or just because it's MGR it should look like it's from some glorified fishing village? 🀣 🀣
Material yake ni ya miaka ya 1989 hayapatikani tena. Hebu tuonehse MGR ya kenya iliyojengwa na Malkia Elizabeth watu wanataka kucheka humu JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…