Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Babu mwaiofhawaii anajinadi humu baba yake alisoma TZ,ukienda DMI pale wamejaa wanafunzi wa kutokea kenya
Mimi nimesoma Muhimbili, Wakenya walikuwepo kibao.

Wanazurura humu kila siku.

Kuanzia Mahospitali, biashara, utalii, vyuo.

Ndio maana huwa tukiwapiga BAN wanatia huruma.

Juzi kati, nilikuwa kwenye daladala, kulikuwa na Wakenya wawili (Niliwajua kwakuwa walikuwa wanaongea Kikikuyu).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…