Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ndio mumefkia level hii sasaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
in nairobi one good year no water
 
nilikuuliza swali bro...why is Brookside milk all ovr Tanzania yet you claim you have the largest population of cattle?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Look at the list of "some" of diary products from Tanzania up there, just some of them sababu huwa mnadhani Tanzania hakuna diary products kabisa kumbe mnajidanganya
 
Look at the list of "some" of diary products from Tanzania up there, just some of them sababu huwa mnadhani Tanzania hakuna diary products kabisa kumbe mnajidanganya
dairy products zipo mpaka Somalia na Afghanistan ndugu...what matters is production capacity...hao ng'ombe wengi mlio nao ni wa maridadi au
 
Kenya: Consecutive Droughts Spell Disaster and Hunger
Don't panic, your big brother has enough stock of food, he will feed you
 
KIU JIJINI NAIROBI ..WAKATI WATU TUNAMWAGA MAJI..CAPITAL CITY YA MIDDLE INCOME INAKOSA MAJI MWAKA MZIMA ..MAJI YA KUNUNUA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wat a sad story
 
wacha pinnacle ndugu kwanza...dont change the story...hii hapa inaiaibisha PSPf na TPF na hakuna mnara...pole sana chokoraa...176m na 141m
PPF TOWER 37 Flr 160 M
MNF Tower 32flr 145 MΓ—2
MZIZIMA TOWERS 35Flr, 33flr Over 140+M
 
KIU JIJINI NAIROBI ..WAKATI WATU TUNAMWAGA MAJI..CAPITAL CITY YA MIDDLE INCOME INAKOSA MAJI MWAKA MZIMA ..MAJI YA KUNUNUA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wat a sad story
dumu la 20 ltrs wananunua 40 bob yani umaskini hautawaacha salama wakenya πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
wanakwambia world class city haina maji one good yearπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…