stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 41,108
- 41,744
kuna professor mmoja wa uingereza alisema "jina kenya ni jina la title deed" so we have kenya,, mt kenya, uhuru kenyata....Resources ni zetu na owned by Tanzanians. Nyie 60% of your land owned by Kenyatta familly na wazungu. Wakenya wa kawaida own nothing