eti mwaiofhawaii umeanza lini kuosha shosh wa statesKazi ya kuosha vikongwe huko USA inaondoka na sehemu ya ubongo wako.
Usilinganishe Mombasa na vitu vya kijingaHiyo mombasa kwa league ya Arusha tu haitoboi.
Watu wote duniani sasa hivi wapo BRICSWhen it’s Samia it’s amazing, but when it’s Ruto ni utoto 😅😅 ama slave 😅😅View attachment 3609227View attachment 3609228View attachment 3609229View attachment 3609230View attachment 3609231
Only projects zilizobaki kenya za affordable houses. No development projects in Kenya kwasababu hali ya kiuchumi kenya ni mbayaUsilinganishe Mombasa na vitu vya kijinga
View attachment 3609246
Ukijumuisha miradi yote ya Tanzania kifedha hazifikii affordable housing program ya kenyaOnly projects zilizobaki kenya za affordable houses. No development projects in Kenya kwasababu hali ya kiuchumi kenya ni mbaya
Wamesahau Mombasa ina highways noma na port kubwa kuliko dar 😁Usilinganishe Mombasa na vitu vya kijinga
View attachment 3609246
Tuambie bajeti ya affordable houses ni Ksh ngapi tuone kama ni kweli au tuchekeUkijumuisha miradi yote ya Tanzania kifedha hazifikii affordable housing program ya kenya
Tukikuonesha Ring Road ya Dodoma unajificha kwenye SlumsWamesahau Mombasa ina highways noma na port kubwa kuliko dar 😁
View attachment 3609251View attachment 3609252View attachment 3609253
Usilinganishe Mombasa na vitu vya kijinga
View attachment 3609246
Leta budget ya Affordable houses ya kenya hapa mzee, acha kutuletea ubabaishaji
Unganisha zote za nchi nzima sisi tutatumia mtwara tu, ata hio SGR hatuitumiiUkijumuisha miradi yote ya Tanzania kifedha hazifikii affordable housing program ya kenya
is that all you have?Wamesahau Mombasa ina highways noma na port kubwa kuliko dar 😁
View attachment 3609251View attachment 3609252View attachment 3609253
This thing is huge , it’s a mega project… we won’t appreciate the enormous size till the foundation pops up … 💯Let the stories begin!
Mmetuiga, mmechezwa, haitajengwa na hekaya nyingine kutoka bongoView attachment 3609232View attachment 3609233View attachment 3609234
Tunajua sasa mambo ya new JKIA inakuuma sana … ( hey!… don’t forget Kibera na njaa..🤣🤣🤣🤣)….