Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Look at that Skybox 😍😍🥰
1000300045.jpg
 
Guys naona watu mnabishana sana kuhusu skybox au jina lingine private box. Nimefanya kazi ya hospitality kwenye viwanja vya Premier League teams.
Nimesoma sana mabishano yenu lakini sioni hata mnachobishana ni nini? Somehow wote mko sahihi. Ila msikariri skybox lazima iwe hivi au vile.
Viwanja vingi vya premier league hata ukiwa unatazama mpira kwenye TV kuna eneo katikati ya jukwaa na jukwaa huwa lina vioo pale ndio zipo skyboxes. Private boxes zina ukubwa tofauti kulingana na mahitaji. Kuna private boxes I. Form of bar lounge. Kuna private boxes double storey kama penthouse uwanja niliofanyq kazi muda mrefu hii ilikuwa Directors box.
Skyboxes ndogo mara nyingi zinamilikiwa na corporate firms au rich individuals. Skyboxes kubwa mara nyingi zinamilikiwa na owners wa uwanja. Hizi ndio huwa zinatumika kwa hospitality packages kwa groups and individuals.
Private box zote ukitoka kwemye vile vioo Kuna sehemu private ya kuangalia mpira,hii ni kwa ajili ya client wa box hio tu. Unaweza kuangalia mpira ndani au ukatoka nje kwenye hivyo vitu. Private boxes zinatumika kila siku sio siku ya mpira tu,viwanja vinatumika sana kwenye hospitality business. Uwanja wa Mkapa hauna private box,kitu ambacho kilinishangaza sana.
 
Long story short, you can't really change that, as it is ingrained in some Kenyans to associate themselves with Europeans. Some individuals here even spend their full time correcting English spelling mistakes—take Teargass and Nicxie for example.

All in all, when it comes to aviation, Ethiopia does not joke around. We wish them all the best, as it is a massive investment, but they are clearly at the top of their game right now, and we see them going very far. Proudly Ethiopian.


For records:
For the 2024/2025 fiscal year (which ended July 7, 2025), Ethiopian Airlines reported a total annual revenue of $7.6 billion USD.

So that new airport makes sense as they are already eating well
Hold on, how does correcting your grammar equate to associating with the west bro, I’d say that you should change your perspective on simple matters like those. Don’t take them as a personal attack. Had we been communicating in Chinese, perhaps the same could’ve happened so be open minded instead and accept that we’re not perfect and jf or any platform can be used for learning as well.

Your second paragraph is precisely what my observation was from the first post I made, before you went on a monologue of why we shouldn’t compare ourselves to them, regardless of, Im glad you circumnavigated back to where we started.
 
Btw something you have to understand is, For a country like kenya every new president has a new agenda! Unamuona saaahv riggy g akiingia.. unadhan ataendeleza project alizoanza ruto? he will start over his own project to earn that political milliage, Ethiopia swala la planes ishakua state agenda and heart of Ethiopia revenues

In Tz all projects are under the same party, THEY MUST COMPLETE
Now in kenya, uhuru starts a new stadium the other focuses in food, kwa mfano mmoja alianza SGR ya diesel uyu mwingine anataka electric, yule mwingine alimpa KQ michael joseph uyu anataka wapewe shirika kubwa waoperate,

Mwingine kaanza affordable housing mwingine kasema akiingia anavunja zote
The choice is yours
Show me one example of a project that was started by Uhuru and canceled when Ruto stepped in. (Not planned projects but projects that were underway)
 
Back
Top Bottom