Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Google Msimbazi River basin project. I guess what, project yetu inaanza mwezi ujao. Kama hii yenyu ni ndoto mnaanza kuiota.

Nairobi river is a beautification project. Transforming the face of the city forever. We join the league of Singapore, Bangkok etc. with beautiful riverfronts, water features etc. right in the heart of the city. Dar Vumbi can only dream. πŸ˜‚
What is this Msimbazi meant to do?
 
Sasa si unaona ulivyo mjinga!! Those are values of KCB bank and equity bank in Tanzania. Huoni hata umetumia figures za Dar stock exchange? Nyinyi mtabaki kusoma number zetu milele
 
The project is very attractive on paper
1. Everyone knows Kenya is bankrupt, where will you get $400 Million?
2. JF knows Kenyans, your projects are only on paper, how do you assure us that they will be implemented?

Nijibu kwanza maswali hayo tuendelee kuchimba zaidi
 
Sasa si unaona ulivyo mjinga!! Those are values of KCB bank and equity bank in Tanzania. Huoni hata umetumia figures za Dar stock exchange? Nyinyi mtabaki kusoma number zetu milele
Nimekuambia ujinga umekuzidi. Hizo value za KCB na Equity bank ni kutoka NSE.
Nilijua utasema hivyo ndio maana nikakupatia ushahidi wa hii PDF kutoka NSE
 

Attachments

Haya, onesha zile za Arusha na ueleze utofauti uko wapi.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mbingu na Ardhi. Arusha πŸ‘‡πŸΎyakwenu hii hapa ya kijua kali. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸΎaffordable stadium .. unaeza sema huu uwanja ulishawahi kutumika miaka ya 70s huko .. nothing is modern concerning stadium
 

Mkuu nimekuwa interested na hii "ligi" na Rais wa China.

Mfano, kwa namna unavyoelezea hapa. Benki kuu ya Tanzania inatuma ujumbe kwa Benki kuu ya Korea ailipe kampuni ya Hyundai 2B USD kwa mauziano ya Treni ya Umeme. Hapa maana yake Hyundai atapata Hela kwenye akaunti yake binafsi na anaweza kutumia kwa kulipa madeni au matumizi yake baada ya mauzo ya Treni.

Ishu inabaki, Hela hiyo kwa Tanzania anakuwa amepoteza vipi? Maana unasema it's just a TRUST... Hakuna physical money or cash... Sasa kama ni hivyo benki kuu si inaweza kuagiza tu kampuni za nje huko zilipwe na bidhaa au mitambo ikaja?

Kwa sababu kama nchi tuna mahusiano mazuri tu na nchi nyingi ambazo Zina bidhaa, mashine au mitambo ambayo inahitajika... Kama ni Trust tu hakuna commitment ya collateral au cash why wanashindwaa kutumia hiyo leverage ya trust peke yake ili kupata vitu?

Sina ABC za banking and it's operations ndio maana nataka kujua hii kitu.
 
The project is ongoing Mr. genius. Or what do you think the slum demolitions were for?
AFCON visitors next year should be able to feed the ducks if China man delivers on schedule.

But just like Talanta and Bomas were never built, even this one according to Tandale-based 250 IQ watchman, haitajengwa πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Nadhani picha hii umetafuta kila namna na angle ili uje uiweke hapa JF. Haya tueleze huo mto jina lake linaitwaje ili tukaufukunyue kwenye mitandao.
 
Mtu mmoja anasema eti hii place inakaa kigoma ujiji. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ una uhakika hii Ndio project ulituonesha kwa zile renda.? Kama ndio muanze kumkamata mkandarasi mapema sana . Hii ni fedheha sana. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kijana wa Tandale, these are figures of market capitalization which do not reflect a company's true net value. Market capitalization is simply a company's equity, which is the total price of all its outstanding stocks. This does not include cash and debts. Stop confusing market capitalization with a company's value.

So, it's true Equity bank has a market capitalization of 285 billion shillings while KCB has a market cap of 222 billion shillings while their market value is much much higher.
 
thats not how market caps are calculated, kitu kama hujui achana nacho

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…