Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Of course hizi nyumba ni nzuri sana in Tanzanian standards
View attachment 3603645

And did you say space? 🤣🤣🤣🤣🤣
Hebu niambie hiyo field kwa nje where children can play in that picture you cropped
izo nyumba nzuri kabisa, and its even standard, with paintings and kubadilisha maybe mabati mbna nyumba nzuri kabisa izo unlike unaongelea kenya where hata choo hakuna all unawaona apo they have clean water, electricity and toilet
alafu huoni spaces izo katika kila house, children can play anywhere they want ata akitoka nje ya nyumba anaweza kucheza nje, sasa slums zenu sasa 🤣🤣 apo hujaongelea zile za pipeline
 
izo nyumba nzuri kabisa,
Bongolala, I said ni nyumba nzuri according to Tanzanian standards. Huku kwetu, such houses qualify as slums.

with paintings
🤣🤣🤣🤣🤣

hata choo hakuna all unawaona apo they have clean water, electricity and toilet
Bongolala, Nairobi sio Dar where you use pit latrines. Kukutana na pit latrine Nairobi ni kama kutafuta Nyama ya nguruwe uarabuni wakati kwenu it's the norm. All the apartments you see in Nairobi have toilets and running water in them. Dar sewer system ni shida maeneo mengi. Only about 10% of Dar population have access to sewer system. Nyumba zenu hazina toilets ndani. You have pit latrines that are shared by several households.


alafu huoni spaces izo katika kila house, children can play anywhere they want ata akitoka nje ya nyumba anaweza kucheza nje, sasa slums zenu sasa 🤣🤣 apo hujaongelea zile za pipeline
Of course there are plenty of spaces here. How can you convince a bongolala otherwise here?


Hiyo pipeline unataja hapa has better houses than your uswazi hovels spread all over the place without running water or toilets
 

Attachments

  • 1780923293680.png
    726.6 KB · Views: 22
sasa na wewe jitahidi uwe na picha mpya izo picha tushazichoka,
 
You dont have to convince us:

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…