Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mnashinda mkituambia kazi inasonga kwa speed sai karibia nusu mwaka hivi mbna inakua ngumu kutuma picha tuone progress?
We never do that jombaa, kumbuka wakati tunajenga BRT, tulikua kimya sana, wakenya na watanzania wengi hawakujua kama ujenzi ulikua unaendelea, hadi siku Magufuli alipouzindua rasmi(Work in silence, let success be your loud). Tulia jomba nchi inasonga kwa kasi sana.
 
Tuna miezi 5 tu kazini utakua mwehu kama utataka uone reli hata barabara ya lami tu haichukui miezi 5 kuwekwa lami, ndio itakua electric railway?
leta picha wacha hasira....reli iko wapi? kwanza hata hela hamna rais ana omba omba Zuma hela baada ya kukataa mkopo toka China...
 
Unazidi kuonyesha kichwani mwako hamna kitu
Ulitaka miezi 6 SGR ya Umeme iwe imekamilika!!
Hata ile mitungi yenu ya chang'aa imechukua zaidi ya miaka 3
Muwe mna ficha upumbavu wenu
Tatizo ni wivu tu hawana lolote wanaomba mradi ushindikane ili wasipate aibu na mitungi yao ya chang'aa
 
[emoji23] [emoji23] hakuna progress yeyote ukweli tu usemwe
leta picha wacha hasira....reli iko wapi? kwanza hata hela hamna rais ana omba omba Zuma hela baada ya kukataa mkopo toka China...
Hata hivyo sio lazima mjue vyovyote mtakavyowaza ruksa, Sgr yetu inachanja mbuga haijengwi na maneno inajengwa na vitendo
 
leta picha wacha hasira....reli iko wapi? kwanza hata hela hamna rais ana omba omba Zuma hela baada ya kukataa mkopo toka China...
[emoji23] [emoji23] hakuna progress yeyote ukweli tu usemwe
Sababu mpo desperate sana na Sgr yetu kuwasaidia kila siku ya alhamisi na jumapili tegeeni tbc 1 kuanzia saa 12 kuna special program for SGR Tanzania tu, program ni ya rahco inaonesha progress zote stage by stage kutoka site wavimba macho.
 
Mkuu Mimi supermarket huwa naenda kununua labda electronic devices and the likes,
Siwezi fuata nyanya Supermarket wakati Mangi anauza hapa nje kitu fresh imetoka shamba Jana,
Nina Rafiki zangu wazungu huwa wakija wanataka vitu za sokoni sababu sio GMO's na zina ile taste OG,
Utamu wa nanasi la supermarket huwezi fananisha na ile kitu Local imetoka shamba Leo asubuhi msee, wacheni ulimbukeni kuiga maisha ya wazungu, Ishini maisha yenu
 
wameegesha caterpillar same spot for a month ....waiting for the 150 km /hr "bullet train"... smh
 
Vitu sokoni ni 100% locally produced, ukinunua vitu vinavyozalishwa nchini, sio kwamba unajenga nchi, bali pia unatengeneza ajira kwa wananchi, hii ndiyo sababu unemployment is very much low in Tanzania.

More than 60% of goods in Supermarkets are imported, thats why unemployment in Kenya keeps rising daily.
 
Hata wenyewe wanashop mtaani sio kama wakenya wote wana access to the supermarket tena wananunua kwenye mazingira machafu kweli
 
Hata wenyewe wanashop mtaani sio kama wakenya wote wana access to the supermarket tena wananunua kwenye mazingira machafu kweli
Wanapiga kelele Za bure to apa,Najua ata leo Jay na wenzake wmefata vitunguu vibandani waache kutuchota ufala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…