AMARII
JF-Expert Member
- Aug 23, 2023
- 1,351
- 3,350
Ubaya ya kununua second hand vehicles. Yani gari inafika hivi na inapelekwa garage direct 😂😂
View attachment 3601543
Hiyo service center ya Simba Iko maeneo gani na Mimi niende hapo!?
Ni lini wameanza kutengeneza magari Hawa jamaa wa Msimbazii