stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 39,679
- 39,999
Hao nyang'au Gor Mahia itawachukua miaka mingapi kufika huko?😎
hawawezi fika, sasa nchi yenyewe haina ata cameraya kuonyesha match, top player analipwa $100 kwa mwezi, na ukiumia unajitibu mwenyeweHao nyang'au Gor Mahia itawachukua miaka mingapi kufika huko?😎
Tear gas Hii uwanja ni Talanta au ile ya Wajir maana sielewi 😁😁😁View attachment 3600198
Quality ya kinjaa njaa,kama iko kiti kimepinda kabla hata ya kutumika,halafu hilo zege seems la kukorogwa na mkono,
Wangeshinda hatungepumua hapa for 6 months .🤣🤣🤣🤣🤣Losers explain 😂😂😂
tuzo bus!
Putin Russia has no influence in the world except to few dictators here and there…
Amka usije ukanya. Jitu zima likiwa zuzu linatia aibu 🤣🤣🤣.Putin Russia has no influence in the world except to few dictators here and there…
Russia went down with the end of Cold War …
There is only one superpower left ..🤪🤪
Tafuta chakula, unaendelea kuishiwa akiliPutin Russia has no influence in the world except to few dictators here and there…
Russia went down with the end of Cold War …
There is only one superpower left ..🤪🤪
What happened to BRICS currency?…..Amka usije ukanya. Jitu zima likiwa zuzu linatia aibu 🤣🤣🤣.
In fact nchi zote za Middle East zimeanza kumkataa US, sahii Russia 🇷🇺 inapanda kwa kasi ya risasi. Ni mataahira tu kama kenya ndio yamefukia vichwa vyao kwenye mchanga
Huyo mwaiofhawaii yupo USA anaosha vikongwe vya kizungu kaka.Amka usije ukanya. Jitu zima likiwa zuzu linatia aibu 🤣🤣🤣.
In fact nchi zote za Middle East zimeanza kumkataa US, sahii Russia 🇷🇺 inapanda kwa kasi ya risasi. Ni mataahira tu kama kenya ndio yamefukia vichwa vyao kwenye mchanga