IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 7,275
- 9,411
When will you realize that not everything revolves around you bongolala. Amka..Juzi kati wameona new conference proposal ya MKICC inaenda kuwa tishio ukanda wote nao wakaibuka na new Bomas uzuri render yetu ilikua bado haijatoka, wamejenga kituko tayari wakati kitu kinachojengwa na Tanzania ni hatari, naona baadae watakuja kuchange design kuongeza chochote 😅 hawawezi kuishi bila Tanzania View attachment 3595555
View attachment 3595556