Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Our stadium is far better than yours in every single aspect except capacity. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hii ni fact ambayo ili uibadilishe unafaa uje uuvunje uwanja wetu.
Na roof ya Mabati?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£

 
Hiyo mabati ndio wanasema iko higher quality kuliko PTFE-coated fiberglass.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sio water fountain wewe mbilikimo mshamba, inaitwa splash pad.
 
It has a Mabati roofπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Ni kama unatafuta furaha ya kulazimisha. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ taa zimewekwa na website ya watengeneza taa imewekwa, sasa kazi kwako.
Na ndio nakuambia they are low quality and are nolonger used in modern stadiums πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡

 

Hii ya kuongeza Gati inatakiwa waharakishe kabisa... Sio jambo la uhitaji Tena... Ni ishu ya lazima.

Nimeongea na wadau wa bandari wanasema kontena zinakuja kwa wingi sana kuliko kawaida. Na export yetu ni ndogo kwa hiyo maghala ya kuhifadhi makasha matupu yote yamejaa! Hivyo pia ni advantage maana itabidi hata washushe gharama za freight ili container zirudi na kuendelea ku rotates.

Ni kujipanga tu na kuondokana na urasimu kwenye biashara za kimataifa.. nchi itasonga mbele na vijana watapata vibunda. Zile BBT programs zisimamiwe kwa ukaribu ... Hata zote zikiwa chini ya SUMA sio mbaya. Ili kuwe na usimamizi na seriousness.
 
Nimesikia hapa plan in two years Mombassa siyo mshindani wetu kwenye ukanda huu. Tutakuwa tunashindana na South Africa


View: https://www.instagram.com/reel/DYsGMVvjNA1/?igsh=am9jODcyMTRwaDdp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…