chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,742
- 46,084
Tena hizo barabara zinajengwa toka enzi za moi 😂😂😂View attachment 3593462
Hizi ndo barabara mnazojenga ? Mbona ni 1887.6 km hivi hizi 4,212.4 nyingine ziko wapi ,mnajiona mlivyo wajinga kwa kuforge data🤣🤣🤣
Yani mtu wa mabati anacheka mtu wa PTFE-coated fiberglass? 😆 😆
Mimi kazi yangu ni kuwaumbua watu kama nyinyi ,Toka lini allianz imetumia PTFE.Geuza ulole, Talanta stadium is roofed using PTFE-coated fiberglass which is a very high quality roofing material. The same material used on some of the world's top stadiums such as Allianz Arena, London Stadium et al. Ujinga wa blind patriotism hata kwenye ukweli uko wazi achia vitoto kama Traveller D. Wee ni mzee mzima.
Same family. PTFE is actually slightly higher quality than ETFE. Bozo.Mimi kazi yangu ni kuwaumbua watu kama nyinyi ,Toka lini allianz imetumia PTFE.
🤣🤣🤣🤣Hiyo material yenyewe unaijua View attachment 3593526
Jamaa amekataa ati hiyo Stadium sio Yao sasa after kuona ziko na low quality floodlights and a Mabati roofing 😂😂🤣Deep down wanajua ni stadium low quality. 😆 😆 😆
I think wamerogwa na Mabati. Basi si heri wangeweka hata concrete ama matawi uko juu😂😂🤣Yani mtu wa mabati anacheka mtu wa PTFE-coated fiberglass? 😆 😆
Both belong to same class😂😂🤣Mimi kazi yangu ni kuwaumbua watu kama nyinyi ,Toka lini allianz imetumia PTFE.
🤣🤣🤣🤣Hiyo material yenyewe unaijua View attachment 3593526
Hakuna county Kunyaland yenye uwezo wa kujenga hata 10km of concrete asphalt road labda pavements. Hata Nairobi own source hawana huo uwezoThis are KENHA projects, si unaona ulivyo mjinga. Unafaa kujua in Kenya hadi an MCA pia ana projects zake za kujenga barabara. Kenya sio kama bongoslum.
Huyo anakuanga fala😂😂🤣Same family. PTFE is actually slightly higher quality than ETFE. Bozo.
Unaniuliza kama najua hiiyo material na umeiskia kwangu kwa mara ya kwanza ndio ukakimbia chatGPT? Si mmekuwa mkisema ni tarubaru? 🤣 🤣 🤣
Unadhani Kenya ni maskini like your country.Hakuna county Kunyaland yenye uwezo wa kujenga hata 10km of concrete asphalt road labda pavements. Hata Nairobi own source hawana huo uwezo
Exactly. Sasa kama wamebana seats hivyo na ndio wako na capacity ya 30k. Sasa wangeacha spaces kama za Talanta si ingekuwa na 20k seats or even less!Yani watu wanaangalia seats zimeshikana kama zile za daladala zao wanaona kabisa ni quality kuliko seats zimewekwa spaciously. 🤣 🤣
Yani talanta tikiamuwa tuweke viti za leather uwanja wote tutaweka tu bila kubadilisha capacity ya stadium.
So talanta imejengwa kwa PTFE ? Nikuumbue?Same family. PTFE is actually slightly higher quality than ETFE. Bozo.
Unaniuliza kama najua hiiyo material na umeiskia kwangu kwa mara ya kwanza ndio ukakimbia chatGPT? Si mmekuwa mkisema ni tarubaru? 🤣 🤣 🤣
Ebu rudi huko vijiweni kwako wacha kujifanya unaelewa mambo huelewi. Achia wanaoelewa wajadili.So talanta imejengwa kwa PTFE ? Nikuumbue?
Let picha za Arusha stadium zikiwa na hizo taa sio kuokota picha na kushare upuuzi wakoSijapata jibu yako bado kuhusu hizi floodlights za Arusha Stadium 😂😂🤣👇👇
View attachment 3593496View attachment 3593498View attachment 3593499
Hizi ndio tarmacked roads KENHA na Ruto anawaambia ziko 6000km
Shamba la bibi 🤣🤣🤣