Wenzako wanapotea Nairobi ju hawajazoea interchange za Nairobi na bado unaropokwa about roads.Umehamia kwenye viwanja, barabara zimekushinda
Kumbe roof ya Arusha Stadium ni pure Mabati?πππ€£
Mbona wanatakiwa kuanza kulipia riba mwaka huu kabla hata ya kucheza mechi moja
Wenzako wanapotea Nairobi ju hawajazoea interchange za Nairobi na bado unaropokwa about roads.
View: https://vt.tiktok.com/ZSx5MgbxG/
Inaitwa lack of exposure.90% of best Stadiums in the world has that material for roofing. Even Camp Nue will have that Tarubaiπππ€£πππ
View attachment 3593398
I didn't expect that baboonman to have any exposure in the first place.Inaitwa lack of exposure.
Hii ni nini ikona space kubwa ya running track kama kiwanja ya Nascar. π π π
Yani watu wanaangalia seats zimeshikana kama zile za daladala zao wanaona kabisa ni quality kuliko seats zimewekwa spaciously. π€£ π€£There's nothing quality in installing seats zimeshikana kama nyumba zenu za uswazi. Does that even offer comfort? Seats za Suluhu you can't even move your arms without touching your neighbor. Very uncomfortable! At Talanta there are visible spaces between seats meaning fans hawatabanana kama hiyo yenu. Now you know where quality is
Arusha seats
View attachment 3593389
View attachment 3593391
Vs
Talanta seats
View attachment 3593393View attachment 3593396
Where is comfort guaranteed between the two?
Bongolala mwenzako alipita interchange mbili na underapass moja akajipata na lorry akielekea CBD where trucks are banned. Just because amezoea barabara za Zebra crossing kila mahali. We are not your mates.Maneno ya nini nasubiria 1112 km za kutoka Kenya Buda Mimi siasa sijuagi mpaka liishe
Una compare na hio vituko iko Mwanza, ebu post tena tucheke.View attachment 3593519
Imagine mlitaka kutuletea huu ujinga
Pole sana Buda hicho Cha 1970 na bado Kiko supa haya tuletee kiwanja chochote Cha Kenya nje ya Nairobi kinacholingana na hichoUna compare na hio vituko iko Mwanza, ebu post tena tucheke.
Geuza ulole, Talanta stadium is roofed using PTFE-coated fiberglass which is a very high quality roofing material. The same material used on some of the world's top stadiums such as Allianz Arena, London Stadium et al. Ujinga wa blind patriotism hata kwenye ukweli uko wazi achia vitoto kama Traveller D. Wee ni mzee mzima.idiot don't compare what is put at Talanta n what is at Camp nou! Talanta's roof is cheap material!
Kuna angle ya Darislum wanapenda kuipiga sana, wanaipigia aerial view pale Masaki inachukua Oyster Bay yote had ile Tanzanite bridge na zile mitungi tatu kwa background. Hii picha ukiongeza tu cable stayed bridge imepiga kile ki angle chao 10-0. π€£ π€£Leo utalia sana, we baboon.View attachment 3593441
Deep down wanajua ni stadium low quality. π π πNi aje tena unakana Stadium yenu? Hujafurahishwa na hizi low quality floodlights?π€£π€£ππ€£πππ
View attachment 3593463View attachment 3593464View attachment 3593465View attachment 3593466View attachment 3593467