Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimejenga hoja hapo Juu wewe unajibu pumba.

ATCL Wana flights za Dar-Mbeya Kila siku asubuhi na jioni ,Kwa nini hiyo ya jioni isipotie Dodoma then Dar?
Kaka Mdege siyo sawa na Bus. Ukiona hawajaweka route ya Mbeya - Dodoma maana yake haina faida kwamba wateja wa kupanda watakuwa wabunge tu.

Nieleze watu wa Mbeya wenye pesa wanaenda Dodoma kufanya nini?
 
NI kweli sio sawa na basi lakini hiyo njia inao abiria ambao wanazungukia Dar na wengine wanapnda hizo VIP.

Hoja hapa ni uchache wa ndege ,yaani mabasi 30 (go & return) yanayosafirisha abiria kati ya 2000-2500 Kila siku ukose abiria 150-200 wa kusafuri na ndege tena route ya kuunganisha?
 
6100km ni zile ziko under construction. Hata kuelewa simple English huwezi.
 
Nduru ya kilio safari hii itakuwa kubwa sana 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…