Ngoja Simbarcelona waanze kuutumia tutakuwa tuanajipigia tuu wajingwajinga hapo 😁Kaka huo uwanja ni wamoto mno. 👇🏾 mount meru ileee inaonekana 🔥🔥🔥View attachment 3592749View attachment 3592748View attachment 3592750wakimaliza landscaping tu hapo ni balaa na nusu.