These are general debts for both government and foreign lenders. These are not government debts alone.France’s general government debt is roughly split evenly between domestic and foreign holders. Approximately 50% to 51% of French sovereign debt is held by foreign investors, while the remaining 49% to 50% is held domestically by French financial institutions, central banks, and retail investors.
Switzerland's external (foreign) debt is significantly larger than its domestic debt, representing about 226% of GDP, whereas the broader national public debt (domestic and external combined) stands at approximately 30-40% of GDP
Show me any developed country with bigger foreign debts than Domestic. Nyinyi hamna Tu pesa that's why even bonds and bills are foreign concepts to you. Who told you government debts are only by banks? Wewe ni foolish tu.
Serikali ikikopa hela kwenye soko la ndani ina punguza liquidity ya soko la ndani na hivyo kupelekea kukauka kwa mikopo kwa private sector matokeo yake biashara za ndani zinashindwa kukua na kunakuwa na economic stagnation kama ambavyo tunaona Kenya sasa. Hivyo ni busara kukopa hela nyingi kwenye soko la nje kuliko la ndani ili kutoathiri credit to private sectors maana private sector ndio engine ya economic growth sasa ikiwa starved of credit lazima uchumi uyumbe.Tupe darasa kuhusu huli la deni la ndani kubwa na la nje kubwa.
Sasa kaulize budget ya Kenya ya wizara husika inafanya kazi gani utacheka mpaka ufe na wenyewe ukiwasikia wanakuambia hapa budget yao ya transportation ni kubwa😁Okay nimepitia Budget ya Uchukuzi the following are things i have given thumbs up.
1. Dar Port inapanuniliwa kuwa kubwa sana 10new berths . 5 zitakuwa kurasini na 5 upande wa kigamboni . Za upande wa kigamboni kuna mpango umeanza ku discuss na nssf kujenga daraja la reli kati ya kurasini na Kigamboni SGR Rail. berth 2 ziko u/c
2. Bagamoyo port inakuwa planned inaweza kuanza this year plan is 3 berth with length of 1.32km to handle Megamax ships
3. Air Tanzania might stabilize coming next years A220 seem to have stabilized plan is to fly to 47 from 33 destinations plan is to add 4Q400s by end of 2027 . I think we already know 3 international (london, moscow and probably muscat) , 3 domestic (shinyanga ,musoma na sumbawanga) other 7 routes zitakuwa regional ) . Wamenunua enngine ya 787, sasa watanunua engine ya Max9 na A220 ili kuweza kuwahisha matengenezo
4. Ujenzi wa chuo cha CATC bil 20, NIT Lindi campus 5.9 bilkwa ajili ya mafunzi ya Gas na Oil extraction .
5 . Plan za Terminal 2 KIA na Terminal 2 Mwanza (2.5mil passengers )
6. Expansion regional airports . Lindi, Moshi, Musoma . Terminal Building Mtwara
7.SGR still under construction imetengewa 1.5trillion
8.
Dom imeanza juzi inapiga bao vimji vyao Vya kipumbavu.Na yote 32 km inapita through the whole developed area (city) ingekua Kunyaland 32km it's 5 counties through bushes and uninhabited emptiness
Kenya is approaching being developed and if I look at all the developed countries, they source their debt domestically. It's only LDC countries like Tanzania ndio wanategemea wazungu to give them loans😂😂🤣Kwanini unataka akupatie data za developed countries wakati hapa ni issue ya kunyaland government kutegemea local banks kwa mikopo na kusababisha sekta za ndani kushindwa kushamiri maana haziwezi kuwa na dhamana kama serikali!?
Focus na kunyaland, mambo ya developed countries achana nayo.
As expected, the goal-shifting British BulldogThese are general debts for both government and foreign lenders. These are not government debts alone.
Serengeti airport Vp?Okay nimepitia Budget ya Uchukuzi the following are things i have given thumbs up.
1. Dar Port inapanuniliwa kuwa kubwa sana 10new berths . 5 zitakuwa kurasini na 5 upande wa kigamboni . Za upande wa kigamboni kuna mpango umeanza ku discuss na nssf kujenga daraja la reli kati ya kurasini na Kigamboni SGR Rail. berth 2 ziko u/c
2. Bagamoyo port inakuwa planned inaweza kuanza this year plan is 3 berth with length of 1.32km to handle Megamax ships
3. Air Tanzania might stabilize coming next years A220 seem to have stabilized plan is to fly to 47 from 33 destinations plan is to add 4Q400s by end of 2027 . I think we already know 3 international (london, moscow and probably muscat) , 3 domestic (shinyanga ,musoma na sumbawanga) other 7 routes zitakuwa regional ) . Wamenunua enngine ya 787, sasa watanunua engine ya Max9 na A220 ili kuweza kuwahisha matengenezo
4. Ujenzi wa chuo cha CATC bil 20, NIT Lindi campus 5.9 bilkwa ajili ya mafunzi ya Gas na Oil extraction .
5 . Plan za Terminal 2 KIA na Terminal 2 Mwanza (2.5mil passengers )
6. Expansion regional airports . Lindi, Moshi, Musoma . Terminal Building Mtwara
7.SGR still under construction imetengewa 1.5trillion
8.
Dodoma DC (Dodoma District of Chamwino) inakwenda kuwa the modern city in Africa ndani ya 10 years hakuna mji hapa EA utakaofikia Dodoma.Dom imeanza juzi inapiga bao vimji vyao Vya kipumbavu.
Ukichengwa tulia.As expected, the goal-shifting British Bulldog
Inamaana hujui kusoma ama?This is 50-50 wewe idiot. Now compare it to Tanzania where 90% of total debts are held by foreigners 😂😂🤣
Rubbish elimu zero kabisaUkichengwa tulia.
Here’s how to interpret it:
- General government gross public debt
= debt owed by the German government (federal + states + municipalities + social security funds).- External debt (151.3% of GDP)
= all debt owed by German entities to foreign lenders, including:
- government,
- banks,
- companies,
- and other financial institutions.
So Germany’s external debt is not the same thing as government debt.
For example:
- Germany’s government debt ratio is around the Maastricht level of roughly 60–65% of GDP in recent years.
- But total external debt is much higher because Germany has a huge banking system, export economy, and multinational corporate sector.
A country like Germany can therefore have:
- moderate government debt,
- but very large external debt due to international finance and trade.
This is similar to countries like:
- Switzerland
- United Kingdom
- Netherlands
where financial and corporate cross-border liabilities are enormous relative to GDP.
Say that again!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Kenya is approaching being developed and if I look at all the developed countries, they source their debt domestically. It's only LDC countries like Tanzania ndio wanategemea wazungu to give them loans😂😂🤣
You posted about general external debt ukidhani ni government debt pekee, na hio ndio Teargass alikuuliza. Wewe unaleta General external debt kama proof alafu ukielimishwa unakasirika.Rubbish elimu zero kabisa
"National debt" and "government debt" are synonymous terms referring to the total amount of money a central government owes to its creditors. People sometimes contrast the two by mistakenly assuming "government debt" includes all levels of government (including state and local), whereas "national debt" usually refers specifically to the central government's total liabilities.
Both terms encompass all the money the federal government has borrowed throughout its history to cover budget deficits.
Kenya is approaching being developed and if I look at all the developed countries, they source their debt domestically. It's only LDC countries like Tanzania ndio wanategemea wazungu to give them loans😂😂🤣
Mradi wa Ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha SerengetiSerengeti airport Vp?
mbna tushapublish apa mda mrefu tushaiongelea na ishapita, au unadhan tukiileta tena apo ndo mtakua mmetoka kwenye poverty line?According to citizen TV. Give us world bank data kijana wa bakuli seats
must be a unique voiceI like the tone of your voice. Full of disappointment 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣