NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,315
- 19,685
Hivi wewe mwanaume wa makende mbili unafurahia tu kuona rais wenu kamsalimia Dangote? Hujui ameongelea nini unafurahia tu salamu?Kumeanza kuchemuka naona kavaa na kanzu inawezekana hata swala ya Ijumaa wamefanya pamoja!
View: https://x.com/ikulumawasliano/status/2055591771942314438
View: https://x.com/ikulumawasliano/status/2055589347508777133
MY TAKE
Hali ya Ruto ikoje huko alipo? Akitoka hapo Dangote anaenda Kampala na Kinshasa!
Teargass NairobiWalker nairobae mwathadan Nicxie IamLee n Nairoberry
Mbona hii unaikwepa?
View: https://x.com/i/status/2055538435461370013 uwa wanabisha humu kama kunyan mlo m1 kwa siku ni shida
Hawa huwa hawawatch video. Wanakimbilia tu kupost. Usidhani bongolala ni Kenya penye kuna wifi kwa kila nyumba.😂 😂 😂"Just like in Nigeria we didn't build it where the oil is, you don't build a refinery based on one particular crude" I hope umesikia hapo vizuri. 😂 😂 😂
Kumbe shida ni wifi na kutoenda shule. 😂 😂 😂Hawa huwa hawawatch video. Wanakimbilia tu kupost. Usidhani bongolala ni Kenya penye kuna wifi kwa kila nyumba.😂 😂 😂
I'm also sure huyo Mzee hakuwatch hiyo clip😂😂Hawa huwa hawawatch video. Wanakimbilia tu kupost. Usidhani bongolala ni Kenya penye kuna wifi kwa kila nyumba.😂 😂 😂
Shida ni WiFi bro, wewe hujaiona vile wanaulizanga wakenya ati "kwani huna bando"😂😂Kumbe shida ni wifi na kutoenda shule. 😂 😂 😂
Dangote anatembea EA nzima, maybe to drum up support for the refinery, sijui hizi orgasms zote za niniMapema tu, wakunya hawaamini macho yao 🤣🤣
View: https://www.instagram.com/p/DYZbeFxjajH/?igsh=Y2pwNG9rd3UybDJ6.
Mtasindikiza kama vile bomba la mafuta na dalali mkuu kasongoYou begged Dangote to come to Tanzania just for the pictures 😂😂🤣
Dangote kasema wiki ijayo anatuma team! Msikilize...Hivi wewe mwanaume wa makende mbili unafurahia tu kuona rais wenu kamsalimia Dangote? Hujui ameongelea nini unafurahia tu salamu?
Umeona hiyo clip ya Dangote akiongea?😂😂Mtasindikiza kama vile bomba la mafuta na dalali mkuu kasongo
Rudi shule ukadai school fee yako.Mombasa ndio itajengwa, economy matters
Plus tumezingirwa na nchi with big economies too si kina Burundi Rwanda Malawi etc.
Mombasa makes sense, Kenya, Uganda ,Tz and Ethiopian markets altogether.
Ulisema hizi ni seats za wafanyikazi?🤣😂😂Rudi shule ukadai school fee yako.