Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

peleka upumbavu na endelea kubadili handle! pita kule! Usinifundishe kuelewa na nimemsema Msukuma kwavile matamshi yake si sawa! Kwahiyo kwa mantiki yake miradi kwa Wasukuma sawa ila kwa Wakurya na Wajita na Wajaluo na Wazanaki wa mkoa wa Mara hapana! Mimi sipendi watu wanakandamiza wengine ili kupata wao! Hilo tu! Ni siasa za kijinga!
 
peleka upumbavu na endelea kubadili handle! pita kule! Usinifundishe kuelewa! Kwahiyo miradi kwa Wasukuma sawa ila kwa Wakurya na Wajita na Wajaluo na Wazanaki wa mkoa wa Mara hapana!
Kwahiyo International Airport isijengwe Mwanza kwa hasira zako? Halafu sisi kanda ya ziwa ni wamoja wakulya, wajita, wazanaki, wajaluo, wahaya, wakerewe, Wanyamwezi,Waha, Watusi, Wahutu na wasukuma.

Also zaidi ya 20% ya population ya Tanzania ni Wasukuma.

Pia mambo ya ukabila peleka Kenya.
 
Malisaaaaaa huyo pumbavu, hananga akili. 😂 😂 😂
 
Ruto anawatambua kama Watanzania ila kondoo wanasema sio Watanzania. 😂😂😂
 
🤣 🤣 🤣 🤣 Tumewabinya mpaka Protective regulations zenu mnaziacha. Mpaka Shishi Food atakuja kufungua Company hapo Kenya.

Ndio kama tulivyokuwa tunasema tutaanza kuwauzia ugali badala ya mahindi na unga
Uchumi umekuwa na shida hawana jinsi lazima waachie. Sasa atakuja Bakhressa kumaliza kazi huko Azam Tv ni launch pad tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…