MM ndo mara ya kwanza naskia investor anasema "whatever ruto wants is what i will do" kwa kifupi nachokiona ni uchaguzi wa mwaka ujao tuTotal wamesaini mkataba wa around 260,000 bpd wakati ile pipeline ina uwezo zaidi! tulia kuna kitu kinakuja sitaki kukisema hapa! Angalia media ya Tanzania ipo kimya! Wamepewa specific instructions! Sit and watch kimbelembele atachezwa!
Kaka fuatilia kwa undani zaidi utaelewa. Media za Tanzania zipo kimya na hakuna anayeongelea hiyo refinery. Hata baada ya hotuba yake hapo bungeni hakuna mjadala wowote ulioendelea.MM ndo mara ya kwanza naskia investor anasema "whatever ruto wants is what i will do" kwa kifupi nachokiona ni uchaguzi wa mwaka ujao tu
Mambo ya refinery umeachana nayo tena?🤣🤣😂🤣Ni kweli unaouma, Ruto went to launch hot air sgr 😂😂 meanwhile Tanzania has the muscles to enter any world lenders and be respected to acquire funds to build thousands of electric SGR, ninyi na hiyo medieval railway yenu ya 10 meters mmezunguka duniani kote hakuna wa kuwapa cent! Now you see how your GDP propaganda is bulshit!
View: https://youtu.be/4GbSW1_4jrE?si=3ucAcvSx_aR8xjGw
Sio issue ya wivu wala unafiki ni kwamba Ruto mwenyewe anaelewa EACOP haiwezi kutumika Kenya kwenye project inayoweza fanyika Tanzania na Tanzania as a shareholder akakubali, EACOP ingekua Kenya wala Tanzania isingekua anything to talk about!Geza unata tufanyeje na mwenye pesa kashasema anataka Mombasa? But naona Ruto akiikataa hii deal na akiinsist ijengwe tanga instead. Kenya hatunaga wivu na unafiki kama wenu
SGR to kisumu imefika wapi?Mambo ya refinery umeachana nayo tena?🤣🤣😂🤣
kuna mtu kasema na galoons 🤣Kaka fuatilia kwa undani zaidi utaelewa. Media za Tanzania zipo kimya na hakuna anayeongelea hiyo refinery. Hata baada ya hotuba yake hapo bungeni hakuna mjadala wowote ulioendelea.
Eti wanasema watabeba mafuta na meli. Sijui watabeba mafuta na meli kutoka wapi.
Kenya is already dead.
Hizo kelele pelekea Dangote😂😂Sio issue ya wivu wala unafiki ni kwamba Ruto mwenyewe anaelewa EACOP haiwezi kutumika Kenya kwenye project inayoweza fanyika Tanzania na Tanzania as a shareholder akakubali, EACOP ingekua Kenya wala Tanzania isingekua anything to talk about! View attachment 3587043
We are currently discussing the Dangote refinery, ama SGR to Kisumu is also a component of that refinery?🤣🤣😂SGR to kisumu imefika wapi?
unapelekea nan sasa Uganda anakaribia kumaliza ujenzi wa refinery yake, It wasnt called a train to no where for a reasonWe are currently discussing the Dangote refinery, ama SGR to Kisumu is also a component of that refinery?🤣🤣😂
sema internal imports because you have the biggest margin of imports vs exportsThe biggest ship to ever docked at any port in East and Central Africa is currently in Lamu Port.
369 meters long.
View: https://x.com/i/status/2053771485341188178
Wanafikiri refinery ni kama kununua mtura! Uzuri Uganda wanajenga refinery yao na Ukunduni wakikataa ku-take part in a refinery in Tanga, wanaweza kuachwa.Sio issue ya wivu wala unafiki ni kwamba Ruto mwenyewe anaelewa EACOP haiwezi kutumika Kenya kwenye project inayoweza fanyika Tanzania na Tanzania as a shareholder akakubali, EACOP ingekua Kenya wala Tanzania isingekua anything to talk about! View attachment 3587043
Tuletee clip ya mwenye pesa akisema ansprefer msa,halafu iisue ya refinery kujengwa twnga TZ tuna plan muda mrefu wala eti si kwa sababu ruto,kunyan mbona mnajipa umuhimu sana!refinery tanga itajengwa kivyovyote na dangote au bila dangoteGeza unata tufanyeje na mwenye pesa kashasema anataka Mombasa? But naona Ruto akiikataa hii deal na akiinsist ijengwe tanga instead. Kenya hatunaga wivu na unafiki kama wenu
Who told you Dangote refinery is only targeting Uganda?Wanafikiri refinery ni kama kununua mtura! Uzuri Uganda wanajenga refinery yao na Ukunduni wakikataa ku-take part in a refinery in Tanga, wanaweza kuachwa.