Unajipa umuhimu ambao hauna. Total ndo watakaouza hayo mafuta, nyinyi hamna sayWw ndie utakaelia,TZ na UG lazima zitengeneze refinery iwe kwa dangote au kwa mpango mwingine wowote,hakuna hata lita 1 ya mafuta itakayotoka tanga kuja huko kwenu,jeuri yote hii inatokana na EACOP na TAZAMA,kikubwa nitafurahi hii refinery ikikamilika bila ya uwepo wenu 😂😂
Hakuna mahali Dangote ametaja Tanga hapo. The guy has always been clear about his stand.
😂 Sasa imekua tena kenya kalipana 😂😂 Hii story imewauma properAnd how is the US involved? After GoK paid a reporter at FT?
EACOP mlifanya hivihivi na tunajua mwishowe ulikuaje!😂 Sasa imekua tena kenya kalipana 😂😂 Hii story imewauma proper
Ila nyinyi ndio mna say au sioUnajipa umuhimu ambao hauna. Total ndo watakaouza hayo mafuta, nyinyi hamna say
Geza unata tufanyeje na mwenye pesa kashasema anataka Mombasa? But naona Ruto akiikataa hii deal na akiinsist ijengwe tanga instead. Kenya hatunaga wivu na unafiki kama wenuEACOP mlifanya hivihivi na tunajua mwishowe ulikuaje!
it was all a political STUNT if that deal was really there isingekua ruto anasema tanga alafu dangote juba, it could have been well planned with correct infoGeza unata tufanyeje na mwenye pesa kashasema anataka Mombasa? But naona Ruto akiikataa hii deal na akiinsist ijengwe tanga instead. Kenya hatunaga wivu na unafiki kama wenu
Even after Editing still it looks bad, the same same box