President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,605
- 94,186
Vile inafaa.I have now decided to ignore him fully.
Between you and Dangote who is the better businessman?Hapana huu ni mchezo wa media za Kenya usisahau kilichotokea kabla ya EACOP! Ukisoma hii ripoti jaribu kuangalia inajaribu kufanya nn! Samia anapaswa kuunda timu nzuri kuhakikisha refinery inabaki Tanga! Kumbuka refinery Tanga itauza pia mafuta Zambia na kuendelea maana TAZAMA pipeline inasafirisha refined products baada ya kuwa converted from crude to petroleum products! Samia anapaswa kucheza na Total, Museveni na Dangote pamoja na Kenya iwekwe pembeni kama Magufuli alipowazuia kwenye kuamua EACOP route! Dangote anapaswa kuwa amealikwa tayari kwa mazungumzo! Pia Rostam anapaswa kutumiwa!
Dangote hawezi kuwekeza karibu na Al ShababDangote knows his business, Kenyans will buy massively into the IPO.
View: https://x.com/kenyanwalstreet/status/2053467716648903006?s=20
Walidhani mzungu ni rafiki wao. 🤣 🤣Remember Total has no plan of refining UG oil. The same total is in Nigeria and Angola but they have never built any refinery there despite their huge oil reserve.
Just like I said, Total will always be happy to sell crude oil to their European counterparts, refine them there and resell the refined oil back to the crude owner😂😂🤣
🤣 🤣 umenchekesha eti anatuonyesha sofa lake, Huyu dogo ni fala no wondr basic things anashindwa kuelewa kumbe anaishi uku 🤣Huyu hapa ni Teargass alipiga picha kutuonesha sofa lake
View attachment 3586596
Uki zoom mikono ipo hivi
View attachment 3586598
Corruption ndio tatizo wachina wanawapa rushwa sana watalaam wetu
You acknowledge he is not stupid yet you purport to speak on his behalf?Him, being a businessman embodies that he can't build a refinery in Mombasa.
Kenya has nothing to offer.
In Tanzania, he will benefit with readymade infrastructures.
- Free land
- Tax incentives
- Lower taxes
- EAC, SADC markets
- Crude oil Pipelines (owned by TZ-UG)
- Port.
- Cheap electric power (Coal, gas, Hydro)
- Successful Experience working in Tanzania.
Dangote is not that STUPID.
View attachment 3586521
kwan EACOP ilikuaje 🤣 , Dangote cement ushasahau what happend au tukukumbushe what happend to talanta mpaka mkawekewa siti za plastic, BTW its unlikely it will be built there, its either kuna political STUNT somewhererefinery inajengwa Mombasa, umia zaidi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi
Jengeni hiyo refinery. Mbona kelele nyingi sana?You acknowledge he is not stupid yet you purport to speak on his behalf?