Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni sahihi, ila siyo kwamba kwenye mafuta Uganda hana share.

Mafuta yanamilikiwa na Total na Uganda
Mafuta ni ya Uganda mwenye rights za kuuza sokoni ni Total na yeye ndio anajua mafuta anapeleka wapi Uganda analipwa na Total kwa kila barrel iliyoingia sokoni.
 
No ukiangalia mwanzo wakati inatangazwa tulikua na kamjadala kuhusu direction ya Tanzania in energy, ile $42B project haiwezi kubaliwa if kutakua na oil refinery
Oil refinery na gas lng plant ni vitu viwili tofauti
 
Dangote amesema very clearly, one of his reasons why he prefers Mombasa, ni ju Kenya has more oil consumption and has a bigger economy. Wewe punguza emotions, Dangote didn't mention bongoslum or Uganda anywhere.
Shida kwenye oil importation mna include mpaka mafuta yanayoenda Uganda na Rwanda na South Sudan mnataka kumdanganya tajiri hii sio biashara ya nyanya ina wataalamu wa legal, policy and business they can read fine prints.
 
We ndio unajua kuliko Dangote, in fact most refineries in the world get their oil from ships.
Yes because those refineries are owned by global majors such as Total, shell, Exon Mobil etc and they ship their crude from their production centres worldwide to their refineries. Dangote anayo production centres wapi zaidi ya refinery? Bei ya crude is different kama humiliki production wewe mwenyewe ndio maana kuna alot of cheap fuel na hii ndio Dangote anataka committement kuzuia importation yake kwa EA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…