Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

It will come in by ships, hio swali aliulizwa na alishajibu.
Je, iliyokuwepo ilikufa kwa sababu gani? Changamoto zilizoua iliyokuwepo mmezitatua? Hata huku Tanzania tulikuwa na Refinery Dar es salaam lakini ilikufa. Sasa hivi imebaki kuwa Storage
 
Mbona mnapiga kelele nyie kwa nyie tu wakenya? Mnajitekenya na kucheka wenyewe. Mmesikia wapi Tanzania inataka refinery toka kwa Dangote?
Wapi Tanzania imeongelea hiyo Refinery?
Yaani wanajitekenya na kucheka wenyewe. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Wanalazimisha ionekane kama ni Tanzania ndo imeongelea ujenzi wa hiyo refinery.
 
Hizi ni reasons zako wewe kama mlalahoi, Dangote ashapeane zake na hizo ndio zina matter the most.
 
Tumia akili feedstock ya hiyo refinery inatoka wapi?
Ushaambiwa hapo juu italetwa na meli. Secondly aren't you forgetting that Kenya is soon becoming an oil producing country? Are you also forgetting South Sudan which has the largest oil reserve in the region?
 

Hizo ni kelele za madalali tu wala wasikusumbue. Yaani source ya mafuta ni meli kutoka Strait of Hormuz. Kelele tu ili kuharibu direction ya Uganda na Tanzania.
 
Team of experts ndio itakayotoa jibu. Unafikiri dangote mjinga hakumbuki corruption iliyomkimbiza kujenfa ฤทiwanda cha cement kenya? Hapo kampa Ruto homework ya ku sort corruption kwanza na je can Ruto succeed in taming corruption in Kenya?
Sawa advisor wa Dangote ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
 
Anayeuza mafuta sio UG ni TOTAL ndio anajua anapeleka wapi soko lipi UG anayo say only kwenye surplus crude ambayo ndio itakuwa targeted kwa refinery fuatilia speech ya Museveni on this
 
Dangote ran away from Kenya and built a cement factory in mtwara was Kenya a socialist state then?
He got met with powerful cartels of the cement industry. Now he has decided to venture into the industry where no Kenyan is operating and he will not have to deal with the cartels he met last time he wanted to set up the cement factory.
 
Rudi usome kile Dangote alisema kwa FT, wacha kufanya guesswork.

Katoa masharti kwa Kasongo.. Je, ataweza kuyatimiza? Ana influence ya kutosha kuwapanga viongozi wote wa E.A wakubali kuguarantee hiyo refinery na kumpatia uhakika wa soko wa mafuta yake?

Unadhani Dangote anatoa tu Hela mfukoni kwake kisa anazo nyingi? Anataka security kutoka kwa each member states... Ambapo TZ, UG na Burundi hawawezi ku support hiyo kitu... Na Rwanda pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ