stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,319
- 33,837
Ata mwenyewe sjui hua mnakopaga kwan nan mpaka mkafika 80% dept to GDPTumekopa kwa Nani? Mr. Inside info ebu tuambie tumekopa kwa Nani🤣😂😂
Ata mwenyewe sjui hua mnakopaga kwan nan mpaka mkafika 80% dept to GDPTumekopa kwa Nani? Mr. Inside info ebu tuambie tumekopa kwa Nani🤣😂😂
Pole sana huna uwezo wa kuweka VAR nor Goal Line, the earlier you accept the fact the better
Maskini Wamekaa wanasubiria VAR
Kwahio mtaweka VAR sio wife wa woria?
Naskia wamesema unakaribia kufika mwishon ama wamekosea hawajakuskiliza
Wasomali jawatambi, tatizo ni hawa nywelu-ngumu wana tabia mbaya,wivu, majivuno na kuwatalk hovyo races nyingine na kuwafanya wajisikie sio raia or second class. Hapo ndio mtifuano ulipo.Tanzania wasomali wapo, wanaishi kwa heshima sana. Hawawezi kutamba kama wanavyotamba Kenya
Ebu tuonyeshe results yenye AI imelipwa inaleta🤣😂😂👇👇Once again Lipia AI umaskini utakuua
no need ata kutumia AI, The thing is Kenya WILL NEVER EVER have a VAR, infact your league is online because Tanzania decided to support you, other wise mngekua the worst in the region
infact kuna uwezekano Hata wajukuu wako wakawa gone na wasione VAR, na sio wewe tu Most African countries hazina and they cant bear the cost, and VAR haiendeshwi kwa Euro Bond
All the developed countries have bigger debts, so we are heading the right way with our 80% debt to GDP😂😂🤣Ata mwenyewe sjui hua mnakopaga kwan nan mpaka mkafika 80% dept to GDP
Kwani ni Mimi ndio nilikuwa naenda kuweka VAR and Goal Line technology Talanta Stadium na sijui?😂😂🤣Pole sana huna uwezo wa kuweka VAR nor Goal Line, the earlier you accept the fact the better
Unaumia ukiwa wapi?😂🤣🤣no need ata kutumia AI, The thing is Kenya WILL NEVER EVER have a VAR, infact your league is online because Tanzania decided to support you, other wise mngekua the worst in the region
Bado hujalia vizuri, more dose😂😂🤣🤣👇👇infact kuna uwezekano Hata wajukuu wako wakawa gone na wasione VAR, na sio wewe tu Most African countries hazina and they cant bear the cost, and VAR haiendeshwi kwa Euro Bond
Umefinya hio kunguni hadi anataka kulia. 😂 😂 😂
Wengi wao hawapendangi kuambiwa ukweli😂😂Umefinya hio kunguni hadi anataka kulia. 😂 😂 😂