Dah roho mbaya sana hii so sad kama ni kweli.
mtu atuambie how comes this country kila town kuna slums
View: https://x.com/Belive_Kinuthia/status/1189144965345140736?s=20
Which foundation when the gap between Kenyan and Tanzanian economy keeps in widening?😂😂We build the foundation of a strong economy kwanza. Nyie jengeni majengo tuu tutaendelea kuwalisha mpaka kiama.
vipi mpaka leo hamjamaliza kufunga viti? Au hela imeshapigwa? Mlianza kufunga viti kabla ya Mkapa stadium lakini sisi tumeshamaliza nyie bado tuu shida ni nini?
On books, yes.Wh foundation when the gap between Kenyan and Tanzanian economy keeps in widening?😂😂
Nowadays sioni progress yoyote kwenye huo uwanja naona kama umekwama.daaa uwanja ushaaanza kuvuja, plastic gan mmeweka kwenye roof
Hayo yanaitwa mahesabu ya akili kubwa. Kagame kaona mpunga umeingia wa kumalizia phase 3 and 4 sasa reli iko mpakani mwake hana haja ya kusubiria ambayo bado iko on paper na haijulikani itajengwa lini. Phases 3 and 4 both ziko kwenye different stages of development using our own resources now, with this new funding, they are guranteed to finish in no time.
m7 anaenda kusign tz alafu kule anaenda kama mgeni wa uzinduziWameshashtuka Kenya maneno mengi na hype za media, vitendo zero.
Kuinvest billions of $ kwenye reli yao ni high risk kwakua moaka sasa hakuna muda halisi wa kuanza kumalizika ujenzi.
Mara wako kwenye maongezi ya kuelectrify, mara....maneno tu.