Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya ndio inayoleta aibu hapa East Africa
Just imagine this photo was taken in Kenya, 2026
 
check your facts well. the last time we received list of extremely poor nations you were ranked the 10th
 
Haha umepanick nini sasa leta data , zumbukuku
 
Disposable income inaonekana kwa internal consumption sio matokeo ya kutembea kutafuta kazi.
Hakuna mkenya wakulipia ticket ya 12,000ksh ku watch football lakini Tanzania watu wanalipa.
Tanzania ndo inaongoza kwa importation ya luxury coaches kwa east Africa na central Kenya mlinunua nganya moja Nairobi nzima kelele.
Imagine kampuni moja inaweka order ya 50 units, hiyo ni total annual purchase ya Kenya nzima .
High consumption ya luxury Ina maana mko vizuri , sisi hatuhangaiki na kuagiza chakula.
Maskini nyinyi Buda.
Dunia ya Leo bado mna shule za chini ya mito 2026
 
Tanzania ndo inaongoza kwa importation ya luxury coaches kwa east Africa
Which luxury coaches? Ama zile mkebe za kichina that are Ksh 9M?😂🤣😂.

Kenyan built buses are Ksh 23M incase hujui, that's three times the cost of those Chinese boxes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…