CAF wanapaswa waone hii maneno!
Apo bado uchaguzi and recently wapo wanadeal na lile tatizo la FKFCAF wanapaswa waone hii maneno!
Mombasa wanaendana na watu wa Tanga au wazaramo tu ila tofauti na waha au kabila lolote la bara
Ukanda wa Pwan wanafananaMombasa wanaendana na watu wa Tanga au wazaramo tu ila tofauti na waha au kabila lolote la bara
🤣🤣🤣 ishakua official name Nywele ngumuNywelee ngumu mna shida ya uelewa sana.
Haya weka hapa mkataba wa ujenzi na mkandarasi ni nani? Weka details zote hapa.
Huyo maku ukimkalia karibu unaweza kukosa hewa,kwa pua hilo hapana aiseeNenda kwenye Facebook yako futa hizi picha. 😂😂😂
View attachment 3581259
Wala sio kusumbuka,Huu ni mwaka wa ngapi ukisumbuka? Wa tatu kama sijakosea