Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

niko 50/50 kuna mradi wa $42B pale mtwara wa GAS alafu pia kuna gas stations kama 2 znajengwa dodoma kubwa kama ile ya dar, the way forward ya Tanzania ni kuachana na oil, labda wakubali lakini focus kubwa kuwauzia kenya and earn money 🤣
kwahiyo ukiwapo mradi wa LNG Lindi unazuia nn huo wa Dangote Tanga?
 
wewe unamuamulia? hivyo vya Angola na Zambia nn capacities zake?
 
Heb maliza kujifurahisha nna haraka mimi.
 
Mnahesabu non existence staffs?😂😂.

Majority of those roads under Construction were already tarmacked. Is like saa hii tuanze kuhesabu Nairobi - May Summit Duall carriageway of 177km which is currently under Construction.
We utajua mwenyewe mjomba, kama unaona unateseka lia.
 
The world of Athletics is converged in Nairobi today for the annual Kip Keino classic ( the only World Athletics Gold meet in Africa). It’s being broadcasted live worldwide. Many world running superstars will be there. I will be watching from my living room thousands of miles away .
 
kwahiyo ukiwapo mradi wa LNG Lindi unazuia nn huo wa Dangote Tanga?
si unajua serikali saahv inapush sana clean fuel, sasa it doesnt make sense kupush clean energy alafu unakomaa na refinery tena, so maybe iwe kwa ajili ya mda mfupi then mbelen itakua kwa ajili ya kuuzia wengine. Oil haina future sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…