Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

A refinery is mostly unprofitable kama hauuzi mafuta nje, infact kenya walikua na yao waliifunga nadhan 2003, ni biashara moja kichaa ndo maaana watu wanaikwepa!


Refinery ya Tanga makes more sense because ships can dock pale kama hormuz wanavofanya na unaweza kuuza kwa watu wengi zaidi, Hata ivo Uganda anaweza kuuza kwa nchi za juu yake zote ethiopia, chad, djibouti etc sudan
 
Hujaelewa nini? Kuna haja ya kuwasubiria hao nilikwambia Wana mipango Yao? Zambia wanajenga Yao for domestic demand mbona?
 
Tourists number difference between Kenya and Tanzania is 3M, lakini revenue difference is only 70B.

If at all we receive the same financial status of tourists then the revenue ya Tanzania should more than double ya Kenya.
it doesnt matter, the thing is We received more tourists, the revenues are only based on the ongoing campaign
and also Tanzania can focus on low price high number tourism which attracts even more tourist
 
Obviously cooked. How can Tanzania arrival numbers double ya Kenya but when it comes to revenue we are almost the same.
almost the same, 70B more your calling almost the same? Your stadium was built on 46B and your calling 70B the same?
 
Oya umeona Tanga tunavyokuja kuwa noma sasa.? 😂😂😂 vimji vyako vya kipumbavu tunavipita kama upepo. Na si unajua Tanga jinsi ilivyopangwa.? Tukiibadilisha kidogo tu baadhi ya majengo Arusha na takatka zingine zitangoja.
 
Oya umeona Tanga tunavyokuja kuwa noma sasa.? 😂😂😂 vimji vyako vya kipumbavu tunavipita kama upepo. Na si unajua Tanga jinsi ilivyopangwa.? Tukiibadilisha kidogo tu baadhi ya majengo Arusha na takatka zingine zitangoja.
Ingekuwa Viwanda vinabadili maisha ya watu basi Wakazi wa Pwani wangekuwa matajiri but very unfortunate ni kati ya Mikoa 5 maskini.

Hiyo Tanga Yako inaongoza Tanzania Kwa vijumba vya makuti,mabati na matope na uswazi 😆😆
Kama unabisha sema nikupe takwimu.

Mwisho huku kwetu tunashikilia uchumi wenyewe sio kampuni chache za mapebari ndio maana tuko vizuri mfukoni.
 
Did he point the media center as skybox ama unawashwa? Hii lesson ya skybox tutahakikisha mnaielewa hata kwa moto

sku hizi Nicxie anapost LOUNGE anaiita skybox, hii lesson lazima tuhakikishe mnaielewa hata kwa moto
 
why are you forcing revenues? cant you charge low and focus on large audience?
 
its useless to build a refinery for domestic use, haina hela
Kenya tried it na wamekifunga kimekaa pale kimechakaaa
Ma failure hawafai kuwa mifano.Nchi nyingi zinajenga Viwanda vyao vya kusafisha Mafuta,kuuza kutakuja tuu kulingana na mahitaji ya soko.
 
its useless to build a refinery for domestic use, haina hela
Kenya tried it na wamekifunga kimekaa pale kimechakaaa

Hata TZ tulikuwa na refinery (Tipper) ikafungwa maana haina faida. Mitambo ya zamani.. upgrade ni gharama...kuaguza mafuta safi ikawa Ndio cheap option. Ndio hapo wanajenga Tank farm Kigamboni wamepageuza kuwa storage area ya mafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…