Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji116] [emoji116]
 
Washington DC is fed by an interchange, Kisumu and Nairobi has an Interchange therefore both countries are in the same track. Does Tanzania have an existing one so far?
One of a kind!! What can i say to fellow who thinks Kisumu and washington Dc are on the same track?!!
 
Washington DC is fed by an interchange, Kisumu and Nairobi has an Interchange therefore both countries are in the same track. Does Tanzania have an existing one so far?
You don't have single interchange, you won't have a single one in near future, keep on dreaming to console yourselves.
 
siliamshi dude
Mnaanza kupoteza mwelekeo kwasababu kila eneo mnalogusa lipo joto, picha kama hizi unaxoweka zisozokuwa na uthibitisho kwamba ni nchi gani, zimejaa tunaweza kuzitafuta na kuziwezka na kusema hii ni Kenya, Tanzania hatuwezi kuwa na miji kama hii, only Kenya ndiyo utapata maisha duni kama hayo na zaidi
 
Masaki
Oysterbay
Mbezi beach
Mikocheni
Izo ni zile super kabisa ata maboss wakimataifa hukaa, Upanga ni maghorofa sana sana sasa wengi hupenda kukaa uko ni watu wa Asia kwa sana japo ba penyewe kumeiva vyema

Bahari beach
Kigamboni
Kijitonyama
Sinza
Madale
Kimara
Mbezi luis
Chang'ombe nk uko ni Middle kwa sana
 
good morning to all jobless goons in kenya.

off topic kidogo.
hii kitu naomba isifike EA kwa sasa, iishie huko huko ughaibuni.

imagine nchi kama kenya, karibia kila vijana kumi, saba au nane hawana ajira, waki introduce robot kwa job, si itakuwa disaster kubwa kwa ma-youth?.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
say rip to the lost soul.

you better live in an ldc country where you can have a job before you turn 30 than living with no job in a "mido ekonomi" country.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
GDP yao hawa imepikwa mpaka ikaungua, na siku zote ninawaambia middle economy yao iko kwenye makaratasiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ dhiki zimewaganda kama kupe kwenye ngozi
 
GDP yao hawa imepikwa mpaka ikaungua, na siku zote ninawaambia middle economy yao iko kwenye makaratasiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ dhiki zimewaganda kama kupe kwenye ngozi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Morning guys, I hade a nightmare!
In my dream some random confused Kenyan mwaswast said Washington DC and Kisumu were on the same level!!! Anyway we got arrested, taken to court and I was sentenced to death by firing squad just for listening to the fool!! Guys.... it was bad!!
 
One of a kind!! What can i say to fellow who thinks Kisumu and washington Dc are on the same track?!!
Of course they both belong to non LDC countries that's for sure and an undisputable factπŸ˜€πŸ˜›πŸ™
 
Usitutajie ukubwa wa Dar hapa. Sote tunajua Dar ni kubwa kushinda hata New York in square kilometers but you can't compare that glorified village with the mighty New York simply because it has a bigger area.The same way Dar is three times bigger than Nairobi but Nairobi is way better than that slummy village you call a city. There are certain facts that will never change however much you try to sugarcoat them
 
Kijitonyama tumeona picha yake hapa mara mingi sana na most of the time you bring those pictures mkijaribu kucompare kijitinyama na upperhill. Leo tena imekuwa residential area?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…