Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The desperation from Nyamwezis has hit rocket high. Eti makwapa iko na skybox? 🤣🤣🤣🤣
Kuna uwezekano hamuelewi ata skybox ni nn 🤣 but we understand since most of you have no idea what makes a modern stadium 🤣 no wonder mliwekewa potty


View: https://x.com/deathstroke254/status/2008120663962439899?s=20


infact its one among the stadiums with a rail towards it, you should be proud of it

View: https://x.com/AfricanHub_/status/2022672276701802765?s=20
 
Hawa watulie , nasubiria siku wakiruhusu bus companies ziweze Fanya local routes waone kina abood walichowahi Fanya njia ya mbeya miaka 90.
Hood aliwahi toa offer ya kusafiri Bure kwenda kyela kwa wiki nzima wakati anaanza ruti ya kyela enzi hizo kuna kitu matema beach express chini ya Pera na mdogo wake Charles, ukija iringa kuna comfort express chini ya nyato famiy na watoto wake kina Winnie nyato
Ukienda arusha kuna chatco charter
sasa hawa si midomo mingi, si unaona ata lile bati la kwenda mombasa
 
call it PTFE stadium or in simple words "Plastic Arena"
Shauri yako🤣🤣😂👇👇

1000246566.jpg
 
Shade ya watu wa bodaboda ndio hawa watu wanaita skybox 😂😂🤣

1000248217.jpg
 
Back
Top Bottom