joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Jana tuliwaonyesha mtandao wa barabara za Tanzania ulivyouzidi wa Kenya, August mwaka huu tunafungua Airpot kubwa kuliko zote within EAC, November Magufuli alifungua Hospitali ya kisasa zaidi in East and Central Africa, ujenzi wa Bagamoyo port, the biggest port in Africa umeanza, electrical SGR ujenzi unaendelea kwa kasi, tenda za mradi mkubwa wa umeme wa 2100MW zimetangzwa, nchi gani zaidi yeye miradi mingi ya infrastructure zaidi ya Tanzania?nani asiejenga infastructure we unafkiri tanzania imekaa tu haijengi barabara😀😀😀😀😀
Na hamna talent yoyote...ghost Stadiums.Hiyo ndiyo ujue Tanzania sio level yenu, wakati ninyi hamna uwanja wowote wa maana nchi nzima, huku tunashusha uwanja wa pili, tukimaliza tunakuja Arusha, tunajenga wenye capacity ya watu 150,000
😀😀😀😀 talent zinkuja na uwepo wa resourcesNa hamna talent yoyote...ghost Stadiums.
Huko kwenye talent ninaweza kukubaliana na wewe, lakini karika kujenga miundombinu ya nchi, Kenya haina uwezo wa kushindana na TanzaniaNa hamna talent yoyote...ghost Stadiums.
usisahau BRT phase two unaanza mwaka huu pesa zimeshatolea na african development bank over 156m usdJana tuliwaonyesha mtandao wa barabara za Tanzania ulivyouzidi wa Kenya, August mwaka huu tunafungua Airpot kubwa kuliko zote within EAC, November Magufuli alifungua Hospitali ya kisasa zaidi in East and Central Africa, ujenzi wa Bagamoyo port, the biggest port in Africa umeanza, electrical SGR ujenzi unaendelea kwa kasi, tenda za mradi mkubwa wa umeme wa 2100MW zimetangzwa, nchi gani zaidi yeye miradi mingi ya infrastructure zaidi ya Tanzania?
Hafadhali umenikumbusha, niliwaambia kwamba jumla ya thamani ya miradi yote inayofanyika hapa Tanzania, ni sawa na au inaweza kuwa kubwa kuliko miradi ya nchi zote tano za EAC, yaani TZ=KE +UG +RW + BR + SSusisahau BRT phase two unaanza mwaka huu pesa zimeshatolea na african development bank over 156m usd
usisahau new surrender bridge unaanza mwezi huu 7.1 km bridge on indian ocean
dar port expansion over 350m usd under construction
etc
Huijui Dar wewe, hapo ni machinga complex, njee ya kariakoo, karibu uje utembee Dar, wenzako toka Kenya wanamiminika kuja kujionea wenyewe.View attachment 670935
City centre Dar
Congrats...but all those towns have a pop of more than 1 million and have improved infrastructureMuda mfupi baadae Tutakua tunakimbizana na World's Giant Stadiums Kama Wembley, tutaachana na hawa ndugu zetu Dreamers
All white elephants na kama si kweli hebu weka picha ya just one complete project apart from BRT.😛Hafadhali umenikumbusha, niliwaambia kwamba jumla ya thamani ya miradi yote inayofanyika hapa Tanzania, ni sawa na au inaweza kuwa kubwa kuliko miradi ya nchi zote tano za EAC, yaani TZ=KE +UG +RW + BR + SS
Nilikuambia uwe unajielimisha kwanza kabla ya kuandika kitu, usichanganye kati ya project U/C na white elephant project, jielimishe kwanzaAll white elephants na kama si kweli hebu weka picha ya just one complete project apart from BRT.😛
Ecko... Umemjib vema - VIVA Tz😀😀😀😀 talent zinkuja na uwepo wa resources
That's how Dodoma is going to be..Massive Infrastructures are currently on the way.. Na ni project za muda mrefu mpaka 2021.. Nyumba zinazojengwa na Estates na Offices kwa ajili ya kuwahamishia wafanyakazi huko ni nyingi saaanaa.. Hotets kwa ajili ya viongozi na watu Wa kawaida Mashule kuna IKULU vyote vinatekelezwa na viko under construction...Congrats...but all those towns have a pop of more than 1 million and have improved infrastructure
But a stadium is never a first priorityThat's how Dodoma is going to be..Massive Infrastructures are currently on the way.. Na ni project za muda mrefu mpaka 2021.. Nyumba zinazojengwa na Estates na Offices kwa ajili ya kuwahamishia wafanyakazi huko ni nyingi saaanaa.. Hotets kwa ajili ya viongozi na watu Wa kawaida Mashule kuna IKULU vyote vinatekelezwa na viko under construction...
Vyote vinaenda pamoja.. Infact Tz Tunapenda mpira sana.. Na huo Uwanja hautachukua muda mrefu kurudisha hio hela.. Unajua Kwann SportPesa wanadhamini karibia timu 4 hapa? Unajua Kwann wanajenga viwanja hapa? Kwasababu wameiona hio fursa... Pale uwanja Wa Dar wamefanya ukarabati wao kuanzia Dressing Rooms kila kona..But a stadium is never a first priority
sent from iPhone 7
90k stadium???..sportpesa inajimarketVyote vinaenda pamoja.. Infact Tz Tunapenda mpira sana.. Na huo Uwanja hautachukua muda mrefu kurudisha hio hela.. Unajua Kwann SportPesa wanadhamini karibia timu 4 hapa? Unajua Kwann wanajenga viwanja hapa? Kwasababu wameiona hio fursa... Pale uwanja Wa Dar wamefanya ukarabati wao kuanzia Dressing Rooms kila kona..
Wapi niliposema 90k stadium? Nimesema wanadhamini timu na kukarabati viwanja90k stadium???..sportpesa inajimarket